Sifa za wanawake/wadada wanene

Sifa za wanawake/wadada wanene

hahaha hamna bamdogo sijakuona hapo ukiwaongelea je ni kweli hizo sifa na kibonge unae
Haya ngoja nikiri haraka kabla wifi zako wembamba hawajapita huku.

Mamdogo mwanamke mnene/chibonge anaraha zake na hizo sifa haujakosea hata moja natamani niongeze zingine ila nitalitia maji.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli vibonge tuna raha hujutiii kuwa nasi
kwahiyo vimbau mbau bamdogo ww wala huwataki
 
Hao nimewaachia Asprin. Mwanamke nyama mamdogo. Usiongeze swali tafadhali
 
Back
Top Bottom