Sifa za wanawake/wadada wanene

Sifa za wanawake/wadada wanene

nakwambia mke wangu ana vituko balaa... atavaa khanga nyepesi ile ya kulalia halaf mara atafute kitu uvunguni... mara atoe mpira aweke mziki acheze... mara akwambie kiuno kinamuuma em nikande... yaan hapo ujue anataka kunipiga hela ya mwisho wa mwezi...!!!!
Hahahahah mkuu nmecheka kwa sauti
 
Kitu wema bhana
w1.jpg
 
Aha wapi kauli yako ya kwanza hujatengua umesema unapenda wembamba weupe fulani hvi ,kwa hyo ww na vibonge ni vtu viwili tofaut
Siku hizi,,,sijasema hua napenda vibonge nasema napenda modo ila siku hizi naanza kupenda vibonge
 
Aha wapi kauli yako ya kwanza hujatengua umesema unapenda wembamba weupe fulani hvi ,kwa hyo ww na vibonge ni vtu viwili tofaut
hapo kwa vibonge atakua katamani tu aonje aone walivyo
 
Back
Top Bottom