1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....
kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......
ni kweli, wanawake wembamba wana wivu xana100+20% Umesema kweli wanawake wembamba ni wazuri kwa kutumia tu lkn kwenye issue za kuoa oa mnene!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Wanawake wembamba kwa wivu we acha tu wakati ni wagawaji wazuri tu nje!!! Mnisamehe bure wanawake wembamba napita tu mimi mwenyewe mgeni!!!!!!!!!!!
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....
kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......
Wanawake wanene wengi huwa wameridhika dats y kukaa na kitu mda mrefu hawezi tofauti kbs na wembamba hutunza vitu vingi sn mioyoni mwao hata kama kdg ninauhakika na ilo asilimia80%
Mwongo huyoooooooooooo
Wanawake wanene hawatongozwi sana hivyo akipata mmoja anamganda kama ruba..afu wanapenda sana kugegedwa ovyo wana nyege sana..
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
alafu ni watamu just imagine upewe choice u spend a night kati ya jokate au masogange..... obvious utachagua masogange!!!
Hmm kweli wembamba wana kisirani sana, tofauti na wanene.