VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
With your personality hata kama ukiwa mnene, mwembamba, au shape ambayo you can not define it..., you are still exquisiteNimeshangaa tu na huu utafiti wako wa wanawake wanene........mhhhhhh!!!!
Mxxxiiiiiiuuuuu
hahahahhaahhhahhahahha kha...hili nalo neno.Hawakai na nguo kwa muda mrefu.....zinawabana
nMxxxiiiiiiuuuuu
Mkuu hujakosea kabisa kuhusu sifa za wanawake wanene, ila umezisahau sifa zao nyingine ambazo ni:
- wachafu
- wavivu
- nguo haziwapendezi
- ngumi mkononi
Mhhhhh!!!....Asante sana kwa kunifanya niwe na mbichwa huoooo....🙂With your personality hata kama ukiwa mnene, mwembamba, au shape ambayo you can not define it..., you are still exquisite
Mhhhhh!!!....Asante sana kwa kunifanya niwe na mbichwa huoooo....🙂
Sasa BAK unaguna nini jaman?!...🙂Mhhh! Kumbee eeh! 🙂
Sasa BAK unaguna nini jaman?!...🙂
Mhh!!? Haya bana....🙂​Wachovu kwenye "jigijigi"
hii ni kwa wote,even men​Wachovu kwenye "jigijigi"
Mgomo!!!!!!!!11Vipi tena Mamiii?
ningeshangaa kama usinge lalamikaumenikwaza
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....
kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......