Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,684
- 6,482
- Thread starter
-
- #141
Ilikua kabla ya uhusiano bana.... wabongo kwa uchurooHakuna mahusiano hapo unapepetwa kama mchele. The fact kwamba alifukuzwa/pigwa ban huko kanisani haikutakiwa kukufikia wewe kwa mdomo wake[kama unanielewa lakini]. Unauziwa mbuzi kwenye gunia
Vitu vingine unajifunza mbeleni kwasasa hata ukiambiwa huwezi kuelewaIlikua kabla ya uhusiano bana.... wabongo kwa uchuroo
Sikatai kuambiwa ila si kwaku fosiwa kukubali kitu akipoVitu vingine unajifunza mbeleni kwasasa hata ukiambiwa huwezi kuelewa
Mim tena nmekua jamaaa🤣🤣🤣🤣We jamaa endelea kujificha na id yako wallah wahaya wangrkujua wasingekuacha
Kuchanganya mafaili dada ake🤣🤣🤣🤣Mim tena nmekua jamaaa🤣🤣🤣🤣
Ooh sawaKuchanganya mafaili dada ake🤣🤣🤣🤣
Wallah sio huyuTatizo wanawake wa kiganda Ni wachafu balaa ( japo sio wote)
Bado sijaelewaBasi ndo ushaelewa
Nichek Dm basBado sijaelewa
NishakucheckNichek Dm bas
Nnaimani ushanielewa sasaNishakucheck