Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Nawashangaaga sana mnavyomponda da prince!!! Yule ndiye mwanaume naemzungumzia hapa sasa ndo vile mdogo tu ila yule ndo dume cheusi mangala rangi adimu,, yale macho meupeeee na midomo yake,,, mwanaume mweusi mtamu sana unaweza mtafuna mzima mzima
The darker the berry the sweeter the juice.Balaa...kwao km mapapai
Tatizo bado mvulana tu ila ni hensam yuleana lips tamu mnooi na ile height..MOYO U RADHI MWILI U DHAIFU
The darker the berry the sweeter the juice.Nawashangaaga sana mnavyomponda da prince!!! Yule ndiye mwanaume naemzungumzia hapa sasa ndo vile mdogo tu ila yule ndo dume cheusi mangala rangi adimu,, yale macho meupeeee na midomo yake,,, mwanaume mweusi mtamu sana unaweza mtafuna mzima mzima
The darker the berry the sweeter the juice.
Hahaha13.Wanaume weupe walaini walaini
14.Wanaume weupe hawafanyi kazi za kutumia nguvu
15.Wanaume weupe ni mario
16.Wanaume weupe wengi wapo kwa wazazi wao japo wamebalehe
17.Wanaume weupe wanatembea kwa kunata/kuringa ringa kama upande wa pili hukoo.
18.Wanaume weupe wanadeka deka
19.Wanaume weupe wanakaa kwa dada zao walioolewa
20.Wanaume weupe kutwa kujiangalia ktk vioo.
ITAENDELEA.........
ila barakah mzuriNawashangaaga sana mnavyomponda da prince!!! Yule ndiye mwanaume naemzungumzia hapa sasa ndo vile mdogo tu ila yule ndo dume cheusi mangala rangi adimu,, yale macho meupeeee na midomo yake,,, mwanaume mweusi mtamu sana unaweza mtafuna mzima mzima
Mbona height ya kawaida..au wewe ni mfupi sanaana lips tamu mnooi na ile height..MOYO U RADHI MWILI U DHAIFU
Mbona height ya kawaida..au wewe ni mfupi sana
ila barakah mzurilakini kama wale wachache.. Na yule inabidi azae na mwanamke cheupe kama najma ...
Madee sio mrefu ila kampitaAna height nzuri bwana...
Huyu ni ke au me!! Km ni me mweupe, ye aendelee kupata tabu sanaAna height nzuri bwana...
Huyu ni ke au me!! Km ni me mweupe, ye aendelee kupata tabu sana
Height ya da prince ni wastani inafaa sana hasa ukitegemea sie wanawake wengi vimo vyetu ni shotiiiii japo mi naweza kulingana na da prince
Picha ilivyochukuliwa na style ya kusimama tu ndo imefanya madee awe mrefu ila katika bongo flava wa kiume baraka anawacharaza kwa mvutoMadee sio mrefu ila kampitaView attachment 1120103
wachaga wengi ni weupe wazee wa mbegeMkuu wewe unawajua watu weupe wote hapa nchini?
Mang'ati weupe wengi hawanywi pombe na wala si wachafu?
Inatosha kwanza nisije nikataja makabila mengi ambayo yana wanaume weupe wengi na ni walevi wa kupindukia, halafu nikawakwaza.
aise nachati kama ke dah