Sifa za wanaume weupe

Hahahhaa...mie jaman...nashindwaga kijielewa...kila sehem nayoenda wananiambia kwakweli ww dada noma...upo had huku???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... wafup oyee


nyie ndo wale wafupi BREAKING NEWS ikitokea mpka kukufikia uko chini nakuwa BROKEN NEWS


wapenzi wote niliowai kuwa nao wafupi asilimia kubwa. nivikorofi vinapenda kushindana akisema kitu anataka kisibadilika.

nawezana nao ata mke wangu ni mfupi
 
Nilipokuwa nasoma nilikuwa nimemchukua rafiki yangu mmojanamlinganisha na hayo maandishi ni mweupe namfahamu tangu shule ya msingi, namfahamu vizuri na hayo uliyosema ni kweli kasoro namba tatu na namba tano
 
Duh,mkuu umejuaje..?
 
Umebadili gia naona

Mi sina sifa yao nzuri hata moja, hata ya kinafiki sina ni viumbe nisio na mzuka nao,,


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚dah..hapa sina shoga..dah..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..zamani nilikua km ww hvhvyoo ilibidi niwapende
 
Wacha bana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…