Sifa za wanaume weupe

Sifa za wanaume weupe

Issuna

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,204
Reaction score
7,648
Hapa naongelea wanaume weupe kwa ukanda wetu wa Africa ambao wana weupe wa kurithi toka kwa wazazi either ni mama au baba au hata babu na bibi huko ila tunachojua ni Mweupe au wale wanaume ambao hawezi kumaliza siku hajaitwa WHITE(waitiii), yani weupe ndio identity yake.

SIO WAZUNGU.

Ukikuta naitwa SAM utaskia nenda kwa Sam yule mweupe...au nenda kwa Davie white nk nk.

1.Mwanaume mweupe sio mchafu so kuanzia leo kama unajijua ni mweupe halafu mchafu mchafu,Jitathmini.

2.Mwanaume mweupe hapigani,aseee mtoto wakiume ukishajiona wewe mweupe Kila kitu unatakiwa umwachie Mungu,kukunjana kunjana sio wala nini,hayo mambo waachieni ma Black.. ubabe wa wanaume weupe upo kwenye Wallet yake. 💪

3.Mwanaume weupe Akitongoza halazimishi..anaongea mara Moja (nakupenda) Demu hakuelewi unapita vile,haina kum bembeleza hiyo,wewe unaefatilia Jibu lako hadi leo hujapewa Kama ni mweupe utakua umejichubua Hukuzaliwa hivyo.

4.Mwanaume mweupe Hasuki,havai hereni,havai mlegezo wewe kama unafanya hivyo vitu utakua weupe wako ni wa kwenye makopo,chama cha wanaume weupe hawana hayo matabia.

5.Mwanaume mweupe Ana mpenzi m1 tu,kuchanganya changanya wapenzi mara leo huyu kesho yule,hayo matabia waachieni ma black.

6.Mwanaume mweupe rafiki ake anawapenda wazazi wake,ukijiona we mweupe halafu hauna time na wazazi wako Jichunguze rangi yako haina muda utakua black.

7.Mwanaume mweupe havuti sigara au kunywa Pombe kabisa...na ikitokea anataka kufanya hivyo anafanya hivyo vitu ndani kwake maana Friji limejaa muda wote na kuvuta anavuta mahali akimaliza anatulia zake..Kulewa mpk kuyumba yumba kunuka sigara waachieni ma Blacks

8.Mwanaume mweupe ananukia 24/7 ndani ya mwaka mzima

9.Mwanaume mweupe ni Smart 24/7 ndani ya mwaka mzima

10.Mwanaume mweupe Habip,hatumi tafadhali nipigie yeye ni anapiga tuuu na txt moja moja.

11.Mwanaume mweupe ni mtu wa Ibada anamjua Muumba wake na anajua ibada ipasavyo.

12.Mwanaume mweupe anapenda watoto na watoto humpenda..hamnaga mtoto anakataa kubebwa na MWANAUME MWEUPE.

13.Mwanaume mweupe Hafugi mandevu kama Rick Ross,mwanaume mweupe anachonga timberland linashuka safiii yani mtoto wa kiume mweupe na ndevu hapana bwana Ndevuuu waachieni ma Black huko wapambane na Midevu yao.

14.Mwanaume mweupe ni Handsome acha kabisa...
ITAENDELEA toleo lijalo.....
 
13.Wanaume weupe walaini walaini
14.Wanaume weupe hawafanyi kazi za kutumia nguvu
15.Wanaume weupe ni mario
16.Wanaume weupe wengi wapo kwa wazazi wao japo wamebalehe
17.Wanaume weupe wanatembea kwa kunata/kuringa ringa kama upande wa pili hukoo.
18.Wanaume weupe wanadeka deka
19.Wanaume weupe wanakaa kwa dada zao walioolewa
20.Wanaume weupe kutwa kujiangalia ktk vioo.

ITAENDELEA.........
 
nakuja hapo Riverside na nsikudake nakwambia 🤣 🤣
 
Hizi sifa zimezidi mimi ni white na ninapiga tungi dunia. Halafu kuhusu ugomvi haiwezekani unizingue nikae kimya wewe, hata uwe na mwili wa kukumbatia mbuyu ngumi zitapigwa tu ila kuhusu kutongoza ni kweli sitokei mdada/mmama/mbibi mara mbili.
 
Hapa naongelea wanaume weupe kwa ukanda wetu wa Africa ambao wana weupe wa kurithi toka kwa wazazi either ni mama au baba au hata babu na bibi huko ila tunachojua ni Mweupe au wale wanaume ambao hawezi kumaliza siku hajaitwa WHITE(waitiii), yani weupe ndio identity yake.
SIO WAZUNGU.

Ukikuta naitwa SAM utaskia nenda kwa Sam yule mweupe...au nenda kwa Davie white nk nk.

1.Mwanaume mweupe sio mchafu so kuanzia leo kama unajijua ni mweupe halafu mchafu mchafu,Jitathmini.

2.Mwanaume mweupe hapigani,aseee mtoto wakiume ukishajiona wewe mweupe Kila kitu unatakiwa umwachie Mungu,kukunjana kunjana sio wala nini,hayo mambo waachieni ma Black.. ubabe wa wanaume weupe upo kwenye Wallet yake. 💪

3.Mwanaume weupe Akitongoza halazimishi..anaongea mara Moja (nakupenda) Demu hakuelewi unapita vile,haina kum bembeleza hiyo,wewe unaefatilia Jibu lako hadi leo hujapewa Kama ni mweupe utakua umejichubua Hukuzaliwa hivyo.

4.Mwanaume mweupe Hasuki,havai hereni,havai mlegezo wewe kama unafanya hivyo vitu utakua weupe wako ni wa kwenye makopo,chama cha wanaume weupe hawana hayo matabia.

5.Mwanaume mweupe Ana mpenzi m1 tu,kuchanganya changanya wapenzi mara leo huyu kesho yule,hayo matabia waachieni ma black.

6.Mwanaume mweupe rafiki ake anawapenda wazazi wake,ukijiona we mweupe halafu hauna time na wazazi wako Jichunguze rangi yako haina muda utakua black.

7.Mwanaume mweupe havuti sigara au kunywa Pombe kabisa...na ikitokea anataka kufanya hivyo anafanya hivyo vitu ndani kwake maana Friji limejaa muda wote na kuvuta anavuta mahali akimaliza anatulia zake..Kulewa mpk kuyumba yumba kunuka sigara waachieni ma Blacks

8.Mwanaume mweupe ananukia 24/7 ndani ya mwaka mzima

9.Mwanaume mweupe ni Smart 24/7 ndani ya mwaka mzima

10.Mwanaume mweupe Habip,hatumi tafadhali nipigie yeye ni anapiga tuuu na txt moja moja.

11.Mwanaume mweupe ni mtu wa Ibada anamjua Muumba wake na anajua ibada ipasavyo.

12.Mwanaume mweupe anapenda watoto na watoto humpenda..hamnaga mtoto anakataa kubebwa na MWANAUME MWEUPE.

ITAENDELEA toleo lijalo.....
Iko hivi wanaume weupe ni baridi sana na si kwa moto hii ni kwa mujibu wa madem wengi ambao nishawasukumizia shaft. Wanasema sisi weusi tii ni wa moto sana kiasi kwamba kitu kikiwa kinazama huwa wanahisi kama wanaingiziwa tochi ya motoooo kwenye papuchi ya bariidiiiiii, wanadai ni raha sana. Mwanaume mweupe kwao ni wakupiganao picha na zaidi huwaona kama wanawake wenzao. ( si unajua wanaume tunapenda wanawake weupe?) Pili kwetu sisi isamilo Genge lambuzi pale Mwanaume mweupe hata awe mkubwa kama nyumba hawezi kukupiga. Ni wadhaifu kichizi zaidi ya mademu. Kama unabisha njoo Nyakabungo kwa senso au chekechea na weupe wako uone kama hawajakutigolize kwa starehe na ukalizika na weupe wako kama panadol. Kifupi weusi ni alama ya nguvu uvumilivu amani na utu. Na weupe ni vice versa ya hivyo. Karibu genge la mbuzi tukusugue mpaka dharau ipungue rohoni mwako. Ni hayo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom