Majigambo na sifa kumbe hakuna lolote
Km mgeni ataangalia jf tu, anaweza kukonclude kuwa watz wote, hamna maskini.
Unakuta mtu anachangia mada: SIKU YA KWANZA KUPANDA NDEGE, wkt safari pekee aliwahi kufanya ktk maisha yake ni kutoka kijijini kwao kwenda boarding!
Afu kuna wale wazee wa matanuzi! Mtu kauliza, SEHEMU GANI NZURI YA KWENDA NA BABY, wanaojibu sasa, wanataja sehemu za hali ya juu, Bei za vyumba JUU, bei ya soda juu, bei ya chakula juu, mtu mmoja anajua prices za hotel km 5! Kumbeeeee.....!
Njoo uulize masomo, waliokuwa wanafaulu sana Secondary, hapa napo utakoma kuringa! Hamna hata mmoja aliekuwa mkali wa History au Civics!
Na kuna wale wanaowajua mastar wa town, mpaka ndala zao wanakutajia rangi gn!