Wako vizuri. Tukiacha kuwafanya kuwa mabilionea kuna impact yoyote kwa jamii waliyofungua makanisa.
Naona bado tunatembelea maono ya wamisionari wa enzi za wakina Karl Peters. Mimi nataka nikipeleka umissionary wangu kutokea Tanzania, ulaya na marekani yote inasimama
Sahihi waafrika wengi wakiwemo watanzania utasikia ohh Injili inahitajika Ulaya na Marekani nk wameharibika nk wamisionari wa ki Nigeria walishafika huko nchi zao miaka mingi iliyopita watanzania na vidini vyetu tulivyoletewa na wazungu tunakumbuka shuka wakati kumekucha Wanigeria tayari Wana wazungu,Wahindi ,waarabu , watanzania nk kwenye makanisa Yao nchi zao na makao makuu ya makanisa wameanzisha Yako Nigeria sio ulaya Wala marekani nk
Makanisa tulivyoletewa na wazungu wako tu vikao vya kuwaza ohh ni wakati wa kupeleka Injili Kwa Wazungu ulaya , marekani nk lakini tutaendaje tusipopelekwa na wazungu walio leta dini hapa kwetu? watupe ufadhili. Wanaongea kipagani utafikiri kazi ya Mungu mfaddhili Mzungu sio Mungu. Wamisionari wa Ki Nigeria wanaoamini Mungu ndiye mfaddhili wa umisionari sio mzungu au yeyote na makanisa yote wamefungua popote duniani hakuna mkono wa mzungu after all hata wangeandika barua Kwa mzungu kuwa nifadhili nikafungue makanisa ya kadhehebu kangu hawatoki na wasingempa madhehebu sababu makanisa Yao hayajaanzishwa na wazungu ni independent African churches sio branches za mainline churches za wazungu waleta dini ambao Sasa hivi wengi wameharibika na wachoyo kutoa Hela
Ni wakati wa waafrika kuamka wakajifunze umisionari wa kimataifa kwenye independent churches za Nigeria sio makanisa Yale ya enzi za wakoloni wakiwemo akina Karl Peters nk
Mbio za kimisionari ni kupokeza vijiti kama mbio za kupokezana vijiti.Wanigeria Kwa Africa ndio pekee walipokea kijiti Cha umisionari Kwa Wazungu wamisionari na wanakikimbiza Kwa Kasi Dunia nzima.Watanzajia mbio hizo zimetushinda tumepookea kijiti hatukimbii
Hawaandiki barua Kwa Wazungu wamisionari popote kuomba kufungua makanisa kwao au popote
Mungu akiwapa maono fungua kule wanaomba Mungu na Mungu anawapa Kila kitu kinatakiwa
Watanzania wanawaza wazungu kufadhili hata akitaka kwenda kuhubiri Ulaya au marekani nk anataka wazungu wampe Hela na tiketi kuwa ohh mimi Nina upako nk ila pesa Sina.Aibu
Kwa kukaa hivyo watanzania tutakufa bila kupeleka Injili ulaya,marekani nk tutasubiri sana tu.Kama Imani yetu itaegemea tu Kwa wafadhili wazungu tutasubiri sana tu
Hakuna kanisa lolote la mnigeria popote duniani linategemea ufadhili wa fedha za mzungu mfaddhili wao Mungu tu