Ayatollah the Bird
Senior Member
- Jul 30, 2026
- 182
- 412
Huu Mwandiko sasa1.Wabahili wa uchi 2.wabinafsi 3.shoo zao mbovu 4.hawajui kupenda 5.wanafiki 6.wanadhamin hela kuliko utu 7.Hawana heshima 8.wapo unromantic 9.wanadharau 10.wanapenda kupewa kipaumbele sana wanajihisi wanadhamani kubwa mno
Nyongeza Tu: 80% ni single mazas1.Wabahili wa uchi 2.wabinafsi 3.shoo zao mbovu 4.hawajui kupenda 5.wanafiki 6.wanadhamin hela kuliko utu 7.Hawana heshima 8.wapo unromantic 9.wanadharau 10.wanapenda kupewa kipaumbele sana wanajihisi wanadhamani kubwa mno
hahahahahaha itakua katuma kodi ya mwaka ,nyumba nzima mbweniKwani Manka ulimtumia tsh ngapi? Uzi wa pili huu......
Rafiki zako wakae karibu na wewe
kama kuna ukweli vileNyongeza Tu: 80% ni single mazas
Nenda huko udigoni upewe ngono masaa ya KAZI uridhike. Achana na wachaga wanaotafuta pesa Kama kipaumbele chao.1.Wabahili wa uchi 2.wabinafsi 3.shoo zao mbovu 4.hawajui kupenda 5.wanafiki 6.wanadhamin hela kuliko utu 7.Hawana heshima 8.wapo unromantic 9.wanadharau 10.wanapenda kupewa kipaumbele sana wanajihisi wanadhamani kubwa mno
Rafiki zake wakae karibu nae, asije akajijeruhi.....hahahahahaha itakua katuma kodi ya mwaka ,nyumba nzima mbweni
hahahahaha,dahRafiki zake wakae karibu nae, asije akajijeruhi.....
Nani ambao sio Single mother? Njooni muoe Dada zangu wa Kimakua hapa Masasi.Nyongeza Tu: 80% ni single mazas
Wa Makondeni ni hatari ukikutana na Dada 20, basi ujue 18 ni single mazaNani ambao sio Single mother? Njooni muoe Dada zangu wa Kimakua hapa Masasi.
Hii ni kweli, lkn pia inatfsri kubwa sana y namna wanawake hao wanakuchukulia wewe kama Mwanaume.Ukiwa legelege sii tu wachaga kila kabila utaona halifai