Chuo dhahabu kilichofichika ni MWECAU: Nidhamu na maadili ni no.1! Taaluma mbele! Vimini marufuku! Wenye maadili mabaya hawakipendi! Wanaopenda maadili na taaluma nzuri watakifurahia! Hutojuta kukijua mwecau!
Tatizo langu walimu wa vyuo vingi hawana sifa hata kidogo. Hata kama GPA ni kubwa ni nani baliyemfundisha? Huyo aliyemfundisha alisoma wapi? Vyuo wanaiba mitihani , mitihani substandard, etc. Bottomline vyuo vingi ni takataka
Nimewafanyisa wengi employment interview it is pathetic.... unajiuliza huyu chuo gani kasoma? Kuna lecturers kweli ? Hovyo hovyo kabisa! Sasa ukute ameanzia shule za kata akamalizia UDOM....mh!
Vyuo vingi hapa nchini vina sifa ya No. 18 ya CBE yani utasajiliwa hata Kama huna sifa
except UDSM , SUA, MU, na Muhas! Heshima kwako UDSM Chuo chenye hadhi ya kimataifa
yani Kama ni msimamo wa Ligi wakati UDSM ikiwa daraja la kwanza vyuo vingine vinavyofuata Labda vitakuwa daraja la kumi ! Karibu kuangalia hata idadi ya Professors and PhDs zilizopo na siyo za ubabaishaji ! Ukweli usemwe tu jamani!
Kuna Watu Humu Ukitaja Udsm Wana - Tremble Nahisi Wana "Schizophrenia"....!
By The Way It's Obviously Recognised That Ud Nationwise Ni #1. Then Others Vinafuata Nyuma Ya Baba Lao. Ni Propotional to Havard In USA.
[HASHTAG]#Get[/HASHTAG] Angry Or Get Inspired.
Zeeero !!!
hizo poyoyo tu na mbwembwe za uanachuo but mkiingia mtaani mwisho wa siku wote ni wasomi wanaoaminiwa na wanaotumiwa na serikali,makampuni binafsi ,internationally na pia wanajiajiri vizuri tu