Sifa za tecno phantom6 hizi hapa

Sifa za tecno phantom6 hizi hapa

Wolle Melkas Fernando

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2016
Posts
279
Reaction score
389
Katika maendeleo ya sayansi na teknolojia, kampuni inayotengeneza simu za TECNO sasa imekuja kitofauti na simu Phantom 6 ambayo ndio toleo jipya kabisa. Simu hii imekuja na vitu vingi vipya ukilinganisha na matoleo yake mengine. Baadhi ya sifa hizo ni:

1.Ina kamera mbili nyuma

techno-phantom6s-camera-1.jpg

2. Ni nyembamba

Wembamba wake ni sawa na kupanga vipande thelathini vya karatasi za rimu zilizolaliana na kufanya simu iwe na mvuto wa pekee.
57ea17967a5a9.png

3. Ina Mwonekano Mzuri
fetch

Na hizi ndizo sifa zake kwa ufupisho
14463156_1062024603910731_827430952919253077_n.jpg

Tumekupata mfanyakazi Wa tecno bei Yake mnauzaje maana wiki mzima unaipigia promo
 
Tumekupata mfanyakazi Wa tecno bei Yake mnauzaje maana wiki mzima unaipigia promo
To be honest sifanyi kazi Tecno, Mi naandikaga makala za kisayansi, vifaa vya kidigitali, mambo ya TV, saa, camera niko tu interested na ni mfuatiliaji sana. Mkuu bei yake Siku ya Tarehe 8 Jumamosi hii watauza kwa Sh.589999/=
 
NAULIZIA BEI YA TECHNO L8 na C9 kwa pamoja pia ipi ni nzur zaid kat yao
 
NAULIZIA BEI YA TECHNO L8 na C9 kwa pamoja pia ipi ni nzur zaid kat yao
L8 jamaa wanauza 270,000/= na C9 wanauza 360,000/= Kuhusu uzuri C9 imezidi ila sema L8 inadumu sana na chaji ukilinganisha na C9. Lakini kwa ubora C9 iko poa sana mkuu.
 
Back
Top Bottom