Sifa za serikali ya tanzania chini ya chama tawala cha ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sifa za serikali ya tanzania chini ya chama tawala cha ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by malkiory, Feb 19, 2011.

 1. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  * Vitisho/udikteta//ukiritimba Ukaidi/ujeuri/ulevi wa madaraka/kupuuzia = Kukwepa midahalo, chuki dhidi ya vyama vya upinzani na kuviita copyright
  * Dharau/kiburi/uozo/Ukosefu wa sera/dira= Rais kunadi mafisadi,kutoa ahadi zinazozidi mgombea umri, ahadi ambazo hazitekelezeki
  * Matumizi mabaya ya fedha za umma na ofisi= Riziwani, mama Salma, bajeti ya chai Ikulu, safari za nje, ununuzi wa rada, ndege ya rais, ununuzi wa mashangingi, ukubwa baraza la mawaziri
  * Kufilisika kimawazo/Uongo/unafiki= Makamba, Kinana, Msekwa, Chiligati
  * Ubinafsi/kulindana/undugu= Watoto wa vigogo kupewa upendeleo katika ajira na siasa mfano mtoto watoto wa makamba, mtoto wa JK na mtoto Mizengo Pinda wakati wazazi wao wangali bado madarakani.
  * Ufisadi= Chenge, Mramba, Rostam, Lowassa, Aden Rage, Liyumba, Mgonja
   
 2. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  1. mmmhhhh
   
Loading...