Sifa za mwanume wa kweli

Kipindi hicho Makutupola bado RTS,
Mjombaaa mbona uliubwaga uzalendo?

Kipi kilizingua kamanda?
Ni story ndefu sana maiki, ngoja nikaushe nisije wafaidisha Raia.

But mimi huwa najitizmaa kama reserve soldier kukiwa na magumu yanaikabili nchi ya mama Tanzania... Niko timamu kusonga mbele kuitetea bongo. Naipenda sana bongo.

Let's rest this case maiki!
 
Worry not comrade!!
Ngoja tuendelee na raha za MMU
 
kwa sifa hizi Paulo makonda out???
 
Mwanaume wa kweli hasifiki kuwa na mademu zaidi ya wawili.
 
Mwanaume wa kweli hana govi
 
Inapendeza sana...

Ukishazaliwa mwanaume ni mwiko kabisa, kusubiri mpaka upewe, wewe chukua tu...

Usitegemee huruma kutoka kwa watu, wewe fanya tu...

Usipende kusifiwa, wewe tenda tu...

Usingoje kuletewa, kifuate/vifuate...


Cc: mahondaw
Umetisha bro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…