Sifa za mwanaume

Sifa za mwanaume

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,202
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Mvulana na mwanaume ukitoa kitu kimoja tu wanachofanana Dushe,

Mwanaume anatakiwa kuwa na Sifa zipi?

CC Zero IQ
 
Naonaga vile vipost vinasemaga "Mwanaume akiona Nyoka hakimbii anamchukua na kumtumbukiza kwenye boxer apambane na Nyoka mwenzie"
 
Anakula nyama zote zinazokua anga zake, anaweza kaushia zote akala moja tu iliyonona na inayoeleweka
 
Back
Top Bottom