Sifa za mwanaume kamili

Sifa za mwanaume kamili

We ni mwanaume? Kama ndio na ni rijali oa zaidi ya mwanamke upunguze michepuko. Acha janja janja. Ni kweli mwanaume rijali hatosheki na mwanamke mmoja
Uanaume wangu ni kusaidia jamii yangu iondokane na umaskini, jamii yangu ipate elimu bora na afya njema zaidi sana jamii iliyostqarabika.

Mi sitokani na jamii za hovyo na dhalili kama zenu mnaowaza kutanua wigo wa ngono tu na kuzalisha michokoraa iliyozagaa mitaani kwa kukosa matunzo na hifadhi toka kwa jamii bora.
 
Kuna watu kukubaliana na ukweli kwao ni ugomvi tena ugomv mkubwa mno!!!
 
Uanaume wangu ni kusaidia jamii yangu iondokane na umaskini, jamii yangu ipate elimu bora na afya njema zaidi sana jamii iliyostqarabika.

Mi sitokani na jamii za hovyo na dhalili kama zenu mnaowaza kutanua wigo wa ngono tu na kuzalisha michokoraa iliyozagaa mitaani kwa kukosa matunzo na hifadhi toka kwa jamii bora.
Hehehe...nafikiri kila mtu aishi kwa raha zake..mtu mwenye uwezo wa kuwahudumia watoto wengi na azae tu....tena unawezakuta mtu akawa na watoto wengi kwa wake tofauti na vilevile akakuzidi hata wewe mwenye mko mmoja kusaidia jamii na watu...No formula mzee wala usipanick..binadamu ni kiumbe complex sana
 
Nipanick nini sasa? Wewe ndio unapanick na mfumo wangu maisha, mi sio mfuasi wa yule mtume wa hovyo aliyeharibu akili zenu.
 
Mimi natafta mke wa pili! Kama Kuna mwanamke yupo tayari humu akaribie pm!
Zingatia ni wapili, na sifikiriii kumuacha wa kwanza! Natafta kuwa mwanaume kamili.
😂 😂 😂 acha tamaa
 
Back
Top Bottom