Tony Yeyo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 733
- 567
Nimebaki na butwaa baada ya kumsikiliza uyu mama anayesema kwamba mwanaume kamili ni lazima uwe na mke zaidi ya mmoja
Kwa upande wangu naunga mkono hoja yake
Mpaka sasa najiuliza kapata wapi ujasili wa kuongea ayo maneno
Wanawake Kama hawa ni wachache sana duniani
Kwa upande wangu naunga mkono hoja yake
Mpaka sasa najiuliza kapata wapi ujasili wa kuongea ayo maneno
Wanawake Kama hawa ni wachache sana duniani