sifa za mchumba ninayemtaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sifa za mchumba ninayemtaka

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mkuki moyoni, Jun 10, 2011.

 1. m

  mkuki moyoni Senior Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. mrefu hata kama sio sana ila awe mrefu
  2. rangi yoyote

  3. mwili wa kati sio bonge wala mwembamba sana
  4. awe mca mungu awe mwenye ibada ( mkiristo)

  5. elimu kuanzia 4m 4
  6. awe wa kanda ya ziwa au magharibi
  7. upeo mzuri wa mambo mengi ya kijamii hata siasa
  8. moyo wa upendo kwa wazazi jamani
  9. bidii ya ubunifu na kujituma
  10. heshima kwa watu/asiwe na majivuno hata kama yuko clasic
  mengine yatarekebika tu
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo unataka mtu ajitokeze au unatujulisha tu vigezo vyako?!
   
 3. LD

  LD JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nadhani vyote ninavyo. Kasoro ni moja tu, natokea Kaskazini. Na tena nina nyongeza hii hapa....Unasema je?
   
 4. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Unataka kuolewa au kuoa?
   
Loading...