KITUNZI MASABO
Member
- Apr 28, 2013
- 7
- 0
bikira hafai... atabadilika...enzi zake zimepita...lol
A=age
B=Beuty
C=Characters
E=Education
najua hayo tu kuwa factors muhimu katika kuchagua mke au mme
heshima yako my kaka yangu mpendwa!
Hapo kwenye Age na Education sikubaliani napo
agreed(Ziko so overated labda ndo maana mi sipati)
1. Urizike nae kabisaaaaaa kwa uzuri na muonekano. Hata ukenda nae mahala unakuwa comfortable and you can even brag about him/her.
3.Uwe unampenda tu for no reason at all. Hata ukiulizwa umempendea nini usiwe na jibu.
Haya yatakuwezesha kudumu na mtu at all weather and climate.
EPUKA!!!!!!!!!!!!!
1. Kuoa/ kuolewa kwa sababu za kiuchumi
2. Kuoa/kuolewa kwa woga wa kubaki alone.
Kwa kuwa umeshapururuliwa na majidume bila mpangilio umewahi kukandia bikira kwa kuwa tu unaupaisha udhaifu wako. Bikiri si ugonjwa na nikukumbushe kuwa binti aliye mcha Mungu, anapoolewa akiwa na bikira basi anayo nafasi nzuri ya kujitunza na kuwa mwaminifu zaidi ya wewe uliyezoea kubanduliwa kila kichochoro.
umesahau D =DisciplineA=age
B=Beuty
C=Characters
E=Education
najua hayo tu kuwa factors muhimu katika kuchagua mke au mme
nimeipokea heshima yangu kwa mikono yangu yote miwili,ila unaweza kunieleza kwa nini hukubaliani na hivyo vitu viwili?
umesahau D =Discipline
Sifa kuu za kupata mke/mume wa kujinafasi nae maishani ni hizi!!!!!!!!! (Ziko so overated labda ndo maana mi sipati)
1. Urizike nae kabisaaaaaa kwa uzuri na muonekano. Hata ukenda nae mahala unakuwa comfortable and you can even brag about him/her.
2. Awe anakupoteza kabisaaa kunako uwanja wa fundi seremala. Yaaani kufikishwa lisewe swala la majadiliano wala maongezi.
3.Uwe unampenda tu for no reason at all. Hata ukiulizwa umempendea nini usiwe na jibu.
Haya yatakuwezesha kudumu na mtu at all weather and climate.
EPUKA!!!!!!!!!!!!!
1. Kuoa/ kuolewa kwa sababu za kiuchumi coz in the longru kama umesoma sanaa na unaendelea kusoma sanaa automatically utatoka kimaisha. Sasa kama ulioa mtu hana kitu kwa kuwa insecure na ulalahoi wako, ukizishika you wont even touch her. Kutwa kutafuta vibinti utavoona ni standard yako.
2. Kuoa/kuolewa kwa woga wa kubaki alone. In jst few months utagundua it wasnt worth it, n the hype of marriage isnt that much a big deal. Ndo mwazo wa kuwa kisirani juu ya kisirani. Mtu ajakukosea ila anakukeraaaaaa mpaka basi.
Im just sayin people.
1) Sifa na tabia njema (2) Lika na umli mnao lingana (3) Umfaham kwa mdamlefu (4) Maradhi ya kulisi (5) Imani moja (6) Anae kubalika pande zote (7) Aanae hudhuria ibada (8) Usafi wa kimwili naki roho (9) Apende ndugu wapande zote.
Age: wanategemea heshima na kuchoka mapema kwa Ke, lakini leo hii naona kuna ndoa ambazo ni imara na kuheshimiana, ingawe Ke ana mzidi umri, na kuna ndoa kibao zimeshikiliwa na uzi wa tandu, huku Me akiwa na umri kuliko Ke, Swala la kuchoka inategemea na mazingira na aina ya maisha ya wahusika wenyewe.
Elimu: Ni elimu gani unayo maanisha hapo .