kwa ninavyojua,celeb ni combination ya popularity na fame,uwe unajulikana na watu wawe wanataka sana taarifa zako,kifupi wewe ni maarufu,sasa hapa bongo wengi tulionao ni celebs,suala la ustaa ni jingine kabisa,star ni yule aliyeng'ara katika analofanya,na ni katika masuala ya entertainmen na michezo,mastaa hapa bongo ni kama lady jay dee,juma kaseja n.k.