Omax oppa
Member
- Jun 4, 2016
- 49
- 40
Habari za muda huu ndugu zangu, naomba mwenye ufahamu na mafunzo ya jeshi la polisi, yaani ni sifa gani zinazohitajika kwa mtu anayetaka kujiunga na mafunzo ya jeshi la polisi, swali la pili ni muda gani mafunzo hayo huchukua had kuhitimu na swali la tatu ni mara ngapi kwa mwaka watu wenye sifa za kwenda mafunzoni huenda, nawasilisha.