zozote zileZa art
inategemea na chuo ila ukiwa na pricple moja uwakika kupataJe diploma ?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
inategemea na chuo ila ukiwa na pricple moja uwakika kupata
unapata ila inategemea olevel kama ulipata angalau D.kuna jamaa yangu alipata f ya bam na s ya chem na e ya biology alipata pale udsm diplomaVip kama una principle ya chem halafu BAM (basic applied math) una F?
unapata ila inategemea olevel kama ulipata angalau D.kuna jamaa yangu alipata f ya bam na s ya chem na e ya biology alipata pale udsm diploma
inategemea na chuo ila ukiwa na pricple moja uwakika kupata
Vp kuhusu ajira zakeKwa Mujibu wa NACTE Ngazi ya Cheti minimum kwa qualifications ni kuwa na D nne, ila kama ni kufanya hivyo ICT nafkiri ktk hizo D mojawapo iwe ya Hesabu. pitia web ya NACTE ama vyuo husika kwa ufafanuzi zaidi
Ajira zipo, ila kwa IT lazma uwe vzr sana mana competition kubwaVp kuhusu ajira zake