choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,088
Ingekua ni hivo basi madaktari wangechagua pia wenye F, mbona hamna?Mkuu cheti/ vyeti havina uhalisia na kile anacho deliver mtu kwenye uhalisia wa maisha na utendaji.Mtu anaweza kuwa na ufaulu mkubwaaa but kazi hawezi kabisaaa but mtu aweza kuwa na ufaulu hafifu na akawa ni mtendaji wa kutilia mfano ma anaviweza vitu balaa.
[emoji91]Tukianzia na ww MKUU vip unadegree..?Nimeshangaa katika pitapita zangu nimeona cheti cha mtu cha Advance katika masomo 3 ya combination ana DDF, halafu yupo chuo kikuu anasoma degree.
Serikali ifute kigezo cha D mbili, ama katika hizo D mbili iwepo na sifa nyingine kwamba hupaswi kuwa na F kwenye somo lolote kati ya masomo matatu. Yani hata ikitokea AAF hupaswi kwenda chuo kikuu.
Ni aibu kati ya masomo matatu una F moja halafu upo chuo kikuu unasoma degree.
Kingine ni kuhusu wanaorudia mitihani form iv na vi, hawa nao kwasababu vitu walivyovisoma ndani ya muda uliopangwa wakafeli kwenye assesment, inabidi grade zao za alama ziwe juu kuliko freshers maana wao walishavisoma hivo vitu wakafeli ndani ya scale ya awali.
Nawasilisha.
Umejuaje pengine ana cheti kingine au Diploma.......kwa hiyo akiwa na DDF kisha akaenda akasema Diploma asijiunge chuo kikuu kwa mujibu wa roho mbaya yako?Nimeshangaa katika pitapita zangu nimeona cheti cha mtu cha Advance katika masomo 3 ya combination ana DDF, halafu yupo chuo kikuu anasoma degree.
Serikali ifute kigezo cha D mbili, ama katika hizo D mbili iwepo na sifa nyingine kwamba hupaswi kuwa na F kwenye somo lolote kati ya masomo matatu. Yani hata ikitokea AAF hupaswi kwenda chuo kikuu.
Ni aibu kati ya masomo matatu una F moja halafu upo chuo kikuu unasoma degree.
Kingine ni kuhusu wanaorudia mitihani form iv na vi, hawa nao kwasababu vitu walivyovisoma ndani ya muda uliopangwa wakafeli kwenye assesment, inabidi grade zao za alama ziwe juu kuliko freshers maana wao walishavisoma hivo vitu wakafeli ndani ya scale ya awali.
Nawasilisha.
MTOA UZI NAHITAJ MAJIBU YAKO[emoji3516][emoji3516][emoji91]Tukianzia na ww MKUU vip unadegree..?
[emoji91]Na je kwann vigezo vipandishwe?
[emoji91]Na nin matokea chanya ya kupandisha vigezo vya kujoin na chuo kiuu?
[emoji91] Na nin matokea ya kupandisha na kutopandisha vigezo vya kujoin chuo kikuu?
Hajapitia Diploma, amemaliza tuu six na kuunga chuoUmejuaje pengine ana cheti kingine au Diploma.......kwa hiyo akiwa na DDF kisha akaenda akasema Diploma asijiunge chuo kikuu kwa mujibu wa roho mbaya yako?
Anzisha chuo chako
Sina[emoji91]Tukianzia na ww MKUU vip unadegree..?
[emoji91]Na je kwann vigezo vipandishwe?
[emoji91]Na nin matokea chanya ya kupandisha vigezo vya kujoin na chuo kiuu?
[emoji91] Na nin matokea ya kupandisha na kutopandisha vigezo vya kujoin chuo kikuu?
Hao ni wenye F kwenye vyeti vyaoUmefanya utafiti hilo lina athari gani kwenye taaluma yetu, au unasema kwasbb wewe hukupata F. Unajua hamna watu wajinga kama graduates wa siku hizi wana reason kama watoto.
Vyuo vingine kama UDOM , SAUT nk waige hiyoHizo ni minimum principle pass ambazo zimepangwa na TCU lakini pia Kila chuo kina terms na Condition zake .. Mfano UDSM huwezi kwenda kwa ufaulu wa DDF
Usahishaji ni sawa maana mtihani ni ule ule tofauti na zamani. Kuhusu grade sifahamu kama wanaweka sawa au la, ila kama ni sawa nashauri wapandisheWe we unafikiri pc na sc usahishaji wake ni sawa?
Na unajua hyo D ni ya marks ngap?
Mtihani sawa hule hule usahishaji kuna utafauti wa kugawa point pc ananyooshwa kisawa sawa ukiona pc kapita mtihani mpe hongera amejipanga huyo kisawasawaUsahishaji ni sawa maana mtihani ni ule ule tofauti na zamani. Kuhusu grade sifahamu kama wanaweka sawa au la, ila kama ni sawa nashauri wapandishe
Ila mkuu hiyo D sio mdogo kwa maan ni 50% kat ya 100%Vyuo vingine kama UDOM , SAUT nk waige hiyo