Sifa za Kipekee za Mh Lowassa

Sifa za Kipekee za Mh Lowassa

Gamba la Chuma

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
1,243
Reaction score
346
1. Ni mbunge pekee anayeshinda jimboni mwake na wananchi wake akihamasisha maendeleo na kusaidia jamii
2. Ni Mbunge pekee aliyewawezesha Wananchi wake kwa elimu, afya, miundombinu nk
3. Ni mbunge pekee ambaye hupita bila kufanya kampeni, sana sana kuwafanyia kampeni wengine
4. Ni kiongozi mbunifu, makini, mwenye uthubutu ambaye kwa muda mfupi aliokuwa PM Serikali ilikubalika kwa wananchi
5. Ni mwanasiasa mwenye mvuto ambaye yuko tayari kuwajibika hata kwa makosa ya wengine.
6. Ni kiongozi pekee kutoka ccm mwenye sifa, na kukubalika kwa jamii ya Watanzania wapenda maendeleo na mabadiliko.
7. Ni mwana ccm pekee mwenye mtizamo tofauti na wenzake hadi wanamuogopa
 
Utayari na Uthubutu wa Lowassa unamfanya kuonekana tofauti na rangi za magamba! I wish ange join force CHADEMA iwapo CCM watamtema !
 
Ni mtoa rushwa mkubwa,
Ni bunge pekee anayetaka urais kwa gharama zozote
Ni bunge pekee ambaye afya yake ni mgogoro
Ni kiongozi pekee ambaye alikataliwa na Mwl Nyerere kwanye interview ya marais mwaka 1995 kwa kuwa na ukwasi mkubwa
Ni Bunge pekee anayeota urais,kengere kanisani urais, mwadhana misikitini urais, jogoo zikiwika urais.
 
-Kiongozi mwenye kashfa nyingi za rushwa kama ameingia kwenye skendo za Tanesco je mikataba ya Oil na Gas itakuwa vipi?
-Kiongozi pekee aliyestaafishwa kwa manufaa ya uma kama waziri mkuu
 
Utayari na Uthubutu wa Lowassa unamfanya kuonekana tofauti na rangi za magamba! I wish ange join force CHADEMA iwapo CCM watamtema !
Kweli mkuu hasa uthubutu wa kutoa rushwa waziwazi bila hata haya nayo ni sifa nyingine.
 
Thibitisha madai yako! Na wewe umeingia kwenye mitego ya kitoto... Lini umewahi kuona Lowassa akitoa rushwa? Wenye kujinadi nadi kuwa wameoteshwa ndoto hamuwaoni? wenye kufilisi halmashauri hamuwaoni? Waliokwapua fedha za ESCROW na sasa wanazigawa kama njugu hamuwaoni? 2005 Wassira alikuwa na nini Zaidi ya kendee zake? alikuwa anasafiri kwa basi haogi, ananuka kama beberu, a/c yake kwa mara ya kwanza iliwekewa million kadhaa kutoka kwa RA ... Leo hii ni Zaidi ya Bwenyeye lenye utajiri wa kutisha! ameupata wapi?... Mwacheni Lowassa apumzike maana sasa naona mnataka kumfananisha hata na akina Nchemba na Nyalandu! Mmelogwa?
 
Ni mbunge pekee katili kiasi cha kunyonyoa nywele wenzake
 
Akuna alie Msafi zaidi ya Lowassa ndani ya ccm!...
 
Kuna sehemu nimesoma mtu akisema, "Kuna watu wamebeba maiti ya kisiasa huku wao wakiamini ni mfalme". Watajishangaa maiti ikianza kuvunda kama sio kunuka.
 
Thibitisha madai yako! Na wewe umeingia kwenye mitego ya kitoto... Lini umewahi kuona Lowassa akitoa rushwa? Wenye kujinadi nadi kuwa wameoteshwa ndoto hamuwaoni? wenye kufilisi halmashauri hamuwaoni? Waliokwapua fedha za ESCROW na sasa wanazigawa kama njugu hamuwaoni? 2005 Wassira alikuwa na nini Zaidi ya kendee zake? alikuwa anasafiri kwa basi haogi, ananuka kama beberu, a/c yake kwa mara ya kwanza iliwekewa million kadhaa kutoka kwa RA ... Leo hii ni Zaidi ya Bwenyeye lenye utajiri wa kutisha! ameupata wapi?... Mwacheni Lowassa apumzike maana sasa naona mnataka kumfananisha hata na akina Nchemba na Nyalandu! Mmelogwa?
OLE wenu aukose huo urais mtarudisha hizo hongo anazowapa ili mtoe mapovu humu mitandaoni.
 
Back
Top Bottom