Sifa za husband material

Ok...
 
nimequalify vyote kasoro 2 na 14
 
nikufanyie suprise huku maporini nakopasua mbao, niwe mpole nigongewe hadi na vijana wa boda boda sawa, nieleze mipango yangu unitoboe macho kama samsoni, niwajulie hali familia yako waanze kuomba maokoto kwani mimi siwajui kwenu choka mbaya nyie? , hizo ni sifa za wanaume kama mabinti.
 
Mwanaume sifa ni mbili.
1. Uwe na pesa
2. Uwe muongo
Wanawake watapenda kimoja wapo hapo
 
 
Wewe nyoko sana wewe.Aache ku risk kila kitu kwa ajili ya Mama yake mzazi aliyemzaa aka risk kwako uliyetoka ulikotokea.Ufanyiwe yote hayo una TV ?
 
Nilivosoma tu kichwa cha habari nikajua "mtoaji" itakuwepo siku kwanini hujaiweka ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…