The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,326
- 3,202
B. Kwa vijana wakiume
1. Yuko tayari kubishana na hata kupigana kisa Simba na Yanga
2. Yuko tayari kubishana na kupigana hata kisa Daimond na Alikiba
3. Yuko tayari kulala njaa aende kwenye fiesta akaambiwe uko tayari, nyoosha mikono juu, mara kushoto kulia etc.
4. Yuko tayari kumuomba mtu hela ya pombe na sio ya chakula
5. Yupo tayari kukosa kodi ya nyumba ama kutokula akabeti au kucheza kamari
B. Vijana wa kike
1. Muda mwingi yuko Instagram, Tinder, Badoo, Facebook etc akibadilisha picha tu
2. Muda mwingi anapambana na Whatsap status kuliko hata kufikiria maisha yake ya baadaye
3. Anawaza ampige nani mzinga wa kusuka, kununua dera la kusutia, mafuta/lotion (hapa ndio chimbuko la nikuombe kitu....)
4. Anawaza kula vyakula vya bei ghali wakati hana ata buku mfukoni ila anabando tuu tena alipiga mtu mzinga
5. Hawanaga nauli, vocha, hela za kula January to December
6. Akitongozwa na mwanaume analeta nyodo alafu wanakimbilia kwa wachungaji kuomba mume mwema/mchumba
7. Ukimtongoza leo saa nane sa tisa hana vocha, sa kumi mama yake mgonjwa, kesho kodi ya nyumba imeisha ijumaa hana hela ya kusuka, Jumamosi hana heya ya vikoba,
8. Wanataka wanaume wenye hela +gari wakati yeye anamiliki tu smart phone madera na begi la nguo kabati, sabufa, tv na kapeti
Mdau ongezea nyingine mimi nitaongezea nyingine panapo majaliwa. Povu RUKRSA