Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,873
Kwanini?nliichaga kutumia fesibuku, 2015 baada ya hayati kuchukua nchi[emoji23][emoji23]
Huna tofauti na mm nimeipotezea FB 2015nliichaga kutumia fesibuku, 2015 baada ya hayati kuchukua nchi😂😂
Sio kweli yaani sikubaliani na weweeKatika nyuzi zako zote huu ndiyo umeandika ukweli
Kwani nina urafiki nao? Me nawashangaaga tu na mashauzi yao!Achana nao
NdiooKwani mabinti wa facebook Jamii Forum,Instagram na Twitter ni tofauti?
Au siyo?Sio kweli yaani sikubaliani na wewee
Ni kweli kabisa! Humu wote siye ni wazee tu😂
Katika hao mabibi ni faiza fox na amkatrina wewe ni mwenzetu kabisa tunakwenda wote goal 5Mkuu kuna watu wametimiza juzi tu miaka 18 humu please😂 wabibi tupo wawili tu
Hapana mimi ni mbibi pia mkuu! Nyie akina pilato ni wa juzi tu hapo nipe shikamoo yanguKatika hao mabibi ni faiza fox na amkatrina wewe ni mwenzetu kabisa tunakwenda wote goal 5
Wewe unawapata kweli Amkatrina na faiza fox?Hapana mimi ni mbibi pia mkuu! Nyie akina pilato ni wa juzi tu hapo nipe shikamoo yangu
Nilipataga mrembo facebook kitambo nasoma first year miaka kadhaa ishapita enzi hizo smartphone chache. Alijipendekeza mm nikamvuta akajaa alichoma nauli yake toka dar mpaka moshi nikamkulala siku 4 akaielewa show na vile yeye tayari alikua anafanya kazi akawa anahudumia mwanachuo mimi. Sema nilikuja kukaacha maana kanakunywa pombe kinoma na ilikua sijui kabla.1. Ukimwambia mambo anaitika kwa herufi P na K
2. Ukimuomba picha anakwambia «wewe mbona haujatuma?»
3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu! mengine uvivu kutype..
4. Ukimwambia naomba tufahamiane anasema anza wewe, na ukimaliza ili yeye aanze basi anakuwa offline.
5. Kawaida yao huwa hawaanzi kukutafuta hewani hata kukupa Hi tu. Usipomtafuta ndo imetoka hiyo.
6. Wamejijengea mawazo kuwa kila mwanaume kwenye mtandao anatafuta mpenzi tu. Hawawazii hata urafiki wa dhati.
7. Wengi hawapendi maswali na hukaa kimya hata ukiwatext ila ukipost 2 picha ya mwanamke mwingine utaona anakufata inbox na kukwambia «msalimie mkeo»
8. Wanapenda sana kujifanya wako busy ila kutwa kucha yupo online.
9. Mnajuana leo kesho anakuomba elfu kumi ana shida nayo sana(maboya yanakamatwa)
10. Ukifanikiwa kupendwa na hawa mademu atakuja kwako kwa nauli yake ila kama we ndio umependa jipange tu kwa nauli.
11. Mwisho wanaamini hakuna mwanaume wa ndoa anayepatikana facebook(wote waharibifu tu)
Sasa najiuliza hivi kuna dunia inaitwa facebook..??
Kwamba watu waliomo humo si wa dunia hii...!
Huo ni mtazamo tu jaman msije mkanivika kibwebwe cha umbea..View attachment 1875772