Sifa njema ya rais wetu itadumu milele

m2020

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
979
1,353
Kumekuwa na jitihada za wazi na. za vificho kumchafua raisi wetu ndani na nje ya nchi yetu kuonyesha kuwa uchumi unaanguka na kuwa nchi haina tena haki za binadamu na kwamba raisi ni dikteta.

Mimi nasema mtahangaika sana lakini hamtofanikiwa kamwe.

Magufuli atadumu na ataendelea kuwa moja ya marais bora Africa hata mfanyeje naamini mtashindwa tu.

Siku zote mwisho wa ubaya ni aibu hivyo subirini aibu enyi waovu wenye roho mbaya mliojaa wivu na chuki.

Mungu aliyenaye Magufuli ni mungu wa kweli muumba mbingu na ardhi siyo Mungu wenu wa kuchonga na kudahili.

Baba Magufuli piga kazi watanzania milioni 50 tunakutegemea uendelee kutuvusha zaidi utufikishe kwenye uchumi wa kati Mkuu wetu.

Mwenyezi mungu akuimarishe katika afya na utendaji mwema Mkuu.

Amiin. Amiin Amiin.
 
Back
Top Bottom