Ndio nimeanza maskani mjini Arusha ningependa kujuzwa na wale 'wazoefu' kuhusu wadada wa ki-meru hasa tabia na kama ni 'wife materials'
Ndio nimeanza maskani mjini Arusha ningependa kujuzwa na wale 'wazoefu' kuhusu wadada wa ki-meru hasa tabia na kama ni 'wife materials'
wababe sana.....
ukorofi ni asli yao hao..piga chiini
mkuu kama mkeo mkorofi ni yeye na haina mahusiano na kabila lake wala makazi yake. pia havina uhusiano na ndugu zake ama wazazi wake. kuna watu tu ambao wako hivyo hawawez kujifunza iwe formal ama non formal na hata kama watasoma basi wanafaulu tu shule ila kwenye maisha ya kijamii wanafeli.
ukorofi ni asli yao hao..piga chiini
Kha, mimi nilidhani nyie wasukuma mnapenda wachaga maana ni weupe!
Nmekusoma mkuu, is it my bby amefeli? Du poa bro
usikute we ndo unasababisha awe hivyo!