Poalazima atakua mpole na asiye penda vurugu, kama una sifa huyo basi we ni Handsome, jamani nawatakia ucku mwema mi ndo natoka job now .
nenda kalale mkuuMmmmhhhhh........
Hio nakubali mkuuHawanaga mademu wakali
Mkuu mm nachekaga sana kuanzia jina lako had koment zakoWazima wote hapa?
Mimi nawasalimia tu
Hahah! wewe jamaa bhn...Mkuu mm nachekaga sana kuanzia jina lako had koment zako
Halafu sijui kwanini.Hawanaga mademu wakali
Nimefanyaje brother..Hahah! wewe jamaa bhn...