Sifa mia moja za mpenzi au rafiki wa kweli

Sifa mia moja za mpenzi au rafiki wa kweli

swahiba daima

Member
Joined
Apr 28, 2015
Posts
97
Reaction score
10
Habari wana jukwaa,

Naomba tusaidiane hapa kuandika sifa angalau mia moja za rafiki au mpenzi wa kweli;

1. Awe mkweli
2. Awe na heshima
3. Awe na adabu
4. Awe mcha mungu
5. Awe mchapa kazi na mtazamo chanya kuhusu kazi
6. Awe msiri na mwenye kuheshimu mambo ya wengine
7. Awe muwazi na asiwe na mambo ya kichinichini
8. Aweke wazi mahusiano yake
9. Awe tayari kutunza heshima ya mwenzake
10.Aheshimu interest za mwenzake bila kuona kero

Tuendelee mpaka mia au zaidi
 
Awe na huruma
Aweke mbele maslahi ya mpenzi wake kuliko ya kwake
Awe mvumilivu
Awe msikivu
Awe tayari kusamehe
Asiwe na tamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom