Ha ha haaaa, nasikia juzi alienda kukata utepe huko mwanza,barabara zote za katikati ya mji zikafungwa toka saa nne kamili mpaka saa tano na nusu, alipoenda kwenye hoteli moja katikati ya mji kunywa chai..
Kwa kuwa imeonekana kuwa kazi kubwa ya Makamu wa Rais ni KUKATA UTEPE KWA KUTUMIA MKASI kuzindua Majengo mbalimbali ya serikali, Shule, Zahanati, Visima vya Maji n.k. (achilia mbali ugeni rasmi katika warsha na makongamano), kuna shida gani tukiongeza Stashahada ya Ushonaji kama kigezo cha kuwa Makamu wa Rais ?
Mkuu, unamaanisha hivi?
Au hivi?
Hata CCM naona hana kazi ya kufanya! - na wao wamemkabidhi mkasi wao pia!
kwa kuwa imeonekana kuwa kazi kubwa ya makamu wa rais ni kukata utepe kwa kutumia mkasi kuzindua majengo mbalimbali ya serikali, shule, zahanati, visima vya maji n.k. (achilia mbali ugeni rasmi katika warsha na makongamano), kuna shida gani tukiongeza stashahada ya ushonaji kama kigezo cha kuwa makamu wa rais ?
Mkuu, unamaanisha hivi?
Au hivi?
Hata CCM naona hana kazi ya kufanya! - na wao wamemkabidhi mkasi wao pia!
Ha ha ha ha ha ha haaaaHuyu mzee anatembea na mkasi mfukoni yab asione utepe kashatoa mkasi