Sifa kuu za kupata uteuzi Serikalini

Sifa kuu za kupata uteuzi Serikalini

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
6,377
Reaction score
15,175
Kijana unaeishinda humuJF ukisifia kwa mapambio mbalimbali, hiyo sio tiketi ya wewe kupata nafasi yoyote serikalini au uongozi wowote serikalini, hizi ndio sifa kuu mbili zitakazoweshesha kukwaa uteuzi;

Sifa ya kwanza uwe na mchango wowote kwenye jamii yako, yaani jamii inufaike kwa uwepo wako, hapa nazungumzia matendo mema unayoifanyia jamii au uliyofanyia jamii mfano lissu ni mwanasiasa ambae kwa namna moja au nyingine jamii iliweza kunufaika kwa uwepo kuto kana Na huduma zake za kisheria kwa watu mbalimbali.

Sifa ya pili uwe unajitambua na akili timamu, nadhani nikisema akili timamu mnanielewa wakuu 😀😀😀 n
IMG_20240703_123326.jpg
IMG_20240703_123149.jpg
 
Back
Top Bottom