johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,035
- 164,318
Nawashangaa wale wanaohoji sifa za Mawaziri, maRC, maDC na Wabunge kwani hawa sifa yao kuu kielimu ni kujua Kusoma na Kuandika.Ila sifa yao ya msingi ni kuwa "mtu muadilifu" full stop.Na hili halikuanza jana bali tokea enzi za mwalimu Nyerere watu waadilifu walipewa uongozi bila kujali viwango vyao vya elimu.Hauhitaji degree ili uwe waziri mzuri bali utahitaji busara na maarifa ya kiutawala.So viongozi wanapaswa kuhakikiwa uadilifu wao siyo vyeti, na kama kuna kiongozi wa kisiasa anatuhumiwa kufoji cheti basi atashughulikiwa kama mhalifu na ikithibitika ndipo atahesabiwa kama mtu asiye maadili na asiyefaa kuwa kiongozi!ahsanteni.