sifa 10 za kipekee zinazoitambulisha Arusha Duniani kote

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,027
Reaction score
20,411
A-Town/ R-Chuga/ Geneva of Africa yote ni majina ya utani kuwakilisha Jiji la Arusha.
  • Jiji hili la tatu kwa maendeleo Tanzania utalii na usafi ni baadhi ya sifa zake za kuvutia.
  • Wenyeji wa Arusha ni Wamaasai, Waarusha, Wairaqw, Wameru, n.k

Hizi ni sifa 10 za kipekee zinazoitambulisha Arusha Duniani kote.

1. Fuvu la mtu wa kale lilivumbuliwa kwenye bonde la Olduvai Gorge mkoani Arusha.

2. Azimio la Arusha la kuongoza Tanzania kwa misingi ya Ujamaa.

3. Maakama ya Afrika ya haku za binadamu ipo jijini Arusha.

4. Jina Arusha limetokana na kabila la wenyeji wa eneo hili Waarusha (kwa kimaasai laarusha)

5. Arusha ni mji mkuu wa Umoja wa jumuhiya ya Afrika mashariki umoja wenye nnchi 6- Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudani ya kusini.

6. Jina Geneva of Afrika lilianzishwa na raisi wa zamani wa Marekani -Bill Clinton mwaka 2000 akiwa Arusha alijaribu kufananisha jiji la Arusha na jiji la Geneva la nchini Switzerland 🇨🇭

7. Kwa Utalii Arusha ndio Kitovu cha utalii wa Afrika kwasababu ya uwepo wa vivutio vingi kama Ngorongoro crater, Arusha national park, Olduvai Gorge, Jamiii yenye tamaduni yenye nguvu zaidi duniani- wamaasai nk.

8. Jiji la Arusha ni namba mbili Afrika mashariki kwa usafi likitanguliwa na jiji la Kigali- Rwanda🇷🇼

9. Mnara wa saa wa arusha ndio mnara wa saa maarufu zaidi Afrika kutokana na kuwa katikati mwa Afrika kwa umbali sawa kati ya Cape-town Afrika kusini🇿🇦 na Cairo Misri🇪🇬.

10. Arusha ni jiji la tatu kwa maendeleo Tanzania likitanguliwa na jiji la Dar es Salaam na jiji la Mwanza.
 
Maisha yapoje Arusha?
 
6. Jina Geneva of Afrika lilianzishwa na raisi wa zamani wa Marekani -Bill Clinton mwaka 2000 akiwa Arusha alijaribu kufananisha jiji la Arusha na jiji la Geneva la nchini Switzerland

7. Kwa Utalii Arusha ndio Kitovu cha utalii wa Afrika kwasababu ya uwepo wa vivutio vingi kama Ngorongoro crater, Arusha national park, Olduvai Gorge, Jamiii yenye tamaduni yenye nguvu zaidi duniani- wamaasai nk.

8. Jiji la Arusha ni namba mbili Afrika mashariki kwa usafi likitanguliwa na jiji la Kigali- Rwanda

9. Mnara wa saa wa arusha ndio mnara wa saa maarufu zaidi Afrika kutokana na kuwa katikati mwa Afrika kwa umbali sawa kati ya Cape-town Afrika kusini na Cairo Misri.

10. Arusha ni jiji la tatu kwa maendeleo Tanzania likitanguliwa na jiji la Dar es Salaam na jiji la Mwanza.
Ukivuta bangi zako unakuja speed hapa,miaka mitano mfululizo Arusha haijaingua kwenye tatu Bora za usafi Tanzania achilia mbali east Africa

Kwenye mikoa mitatu tajiri Arusha hakuna kabisa wewe umelewa ugoro

USSR
 
Mkuu kitu ambacho hujaelewa ni usafi kua mimi nimezungumzia majiji ambayo yapo 6.
Je, hapo imekaaje?
Umevuta bangi unakurupuka kujibu
 
Mkuu kitu ambacho hujaelewa ni ufasi kua mimi nimezungumzia majiji ambayo yapo 6.
Je, hapo imekaaje?
Umevuta bangi unakurupuka kujibu
Kigari imeingiaje au ufala

USSR
 
basi gugo wahuni, wamepunguza kusini wameongeza kaskazini, hii haikubaliki.

Screenshot_20210829-182842_Maps.jpg

Screenshot_20210829-182959_Maps.jpg
 
Back
Top Bottom