Sielewi nimwambie nini aamini kuwa nampenda kweli

Smart AJ

JF-Expert Member
Mar 21, 2022
5,533
5,751
Kama kawaida nlikutana naye kwenye mizunguko ya kawaida tu, nikaomba namba akanipatia.

Njia aliyokuwa anaenda yeye nami nilikuwa naenda huko huko,njiani tulikutana na mdada tu, ambaye kwa muonekano ni mkubwa kidogo kwa huyo dada,walisalimia na tukaendelea na safari yetu.

Nilipata kumfahamu kwa siku mbili tu,ila alinivutia sana coz ana macho mazuri mnooooo yani,plus kashape flani hivi ka kimisi basi ndio akanimaliza kabisa.

Picha linakuja siku ya tatu, nmekutana naye nkamtemea voko,akawa kama mtu aliyepigwa na butwaa hivi, hasemi kitu kabisa, ikabidi nimsindikize tu kwao nami nirudi home.

Nikiwa home, nikajiuliza sababu ya kuwa vile, ikabidi nimpigie nimuulize kama nimemkwaza chochote, jibu lake likawa HAPANA.

Nilipokuja kukumbushia ombi langu jibu lake likawa “HAPANA. MI NAONA TUWE MARAFIKI TU”

kuuliza sababu ya maamuzi yake hayo akanambia kitu mambo mengi plus kuogopa kuumizwa na mapenzi na blah blah kibao sana ambazo kwangu hazikuingia kichwani kiukweli.

Ila nilipozidi kumdadisi akaniambia kitu ambacho kikanifanya nishangae sana.

YEYE:“Unakumbuka ile siku tumeongozana tulikutana naye mdada flani tukasalimiana naye?

MIMI:”ndio”

YEYE:”basi baadae alinitext akanambia mdogo wangu umejua kuchagua,ila mi nkamwambia hapana dada mbona ni rafiki yangu tu,....basi akasema nilitaka kushangaa anawezaje kuwa shemeji nkajua labda ndo vidawa dawa labda”

Mi kiukweli sikuwa na la kujibu ila nkawaza labda ilkuwa ni mbinu yake ya kutaka kunipotezea tu,na nikamwambia pale pale ila akasema na kuapa kabisa kuwa ndio ukweli...

Nikajaribu kumueleza kuwa mapenzi hayajengwi na watu wa pembeni ila na watu wawili tu.

Kwa kifupi huyu dada anadhani nimemtamani na sijampenda na alinambia kabisa kuwa anahisi hivyo.

Anachosema yeye alidhani mie nimemfata kwa ajili tu ya urafiki so hakuwahi kudhani kabisa kuwa naweza kumtamkia kuwa namtaka awe wangu,akagusia kuwa ndo mana siku ile nilipomtokea aliishiwa pozi na kukosa jibu la kunipa.

Ila kiukweli mi nimetokea kumpenda sana coz ana sifa kadhaa za mtu nnaye mtaka.

Ye anasema hafai kuwa na mimi ,sasa hapa ndo simuelewi ana shida gani,akaanza hata kuuliza kabila langu,nilipomtajia akasema kabila langu huwa wanakuwa na wanaoa wanawake pisi kali sijui.

Jamani sijui nifanye nini coz huyu mtoto nimezimika ghafla tu asee hebu naombeni mnishauri jamani chonde chonde nimwambiaje aelewe kuwa ananifaa.
 
Khaaaahh:

Nani kasema kila mwanamke ukimtaka lazima akubali? JAMANI NA WANAWAKE NAO WANA HAKI YA KUCHAGUA ANAYEMHITAJI KATIKA MAISHA YAKE!!!! WANA HAKI YA KUKUBALI AU KUKATA OMBI LA MWANAUME KULINGANA NA ANA HISIA NAYE AU VINGINEVYO...

Tunapaswa kuheshimu hisia zao na majibu yao, KUENDELEA KULAZIMISHA NI USHAMBA NA UNYANYASAJI na kumbughudhi huyo unayemsumbua...

Let us be GENTLEMEN GUYS.... Mheshimu na mpe muda wa kutafakari na kuamua LAKINI pia isijekuwa umemtamani binti wa WATU na unataka huduma tu utembee!!!!!

Tuwe waungwana na tuwape nafadi ya kuamua wale ambao nyoyo zetu zimedunda kwao!!!!

Vijana wengine wa kiume ATAKWAMBIA AMEMPENDA BINTI WA WATU LAKINI IKIMUULIZA MPANGO WA KUELEKEA KWENYE NDOA HANA.... ANACHOFAHAMU NI KUWA AKIKUBALIWA NI SIKU MBILI TATU ANAOMBA HUDUMA NA MAISHA YANAENDELEA!!!!

Naomba kumuuliza mleta mada, JE UNA MPANGO SERIOUS WA KUWAFIKISHA KUWA FAMILIA AU AKILI YAKO IKO KWENYE....... TU??
 
Kama kawaida nlikutana naye kwenye mizunguko ya kawaida tu ,nikaomba namba akanipatia.

Njia aliyokuwa anaenda yeye nami nilikuwa naenda huko huko,njiani tulikutana na mdada tu,ambaye kwa muonekano ni mkubwa kidogo kwa huyo dada,walisalimia na tukaendelea na safari yetu.

Nilipata kumfahamu kwa siku mbili tu,ila alinivutia sana coz ana macho mazuri mnooooo yani,plus kashape flani hivi ka kimisi basi ndio akanimaliza kabisa.

Picha linakuja siku ya tatu,nmekutana naye nkamtemea voko,akawa kama mtu aliyepigwa na butwaa hivi,hasemi kitu kabisa,ikabidi nimsindikize tu kwao nami nirudi home.

Nikiwa home,nikajiuliza sababu ya kuwa vile,ikabidi nimpigie nimuulize kama nimemkwaza chochote,jibu lake likawa HAPANA.

Nilipokuja kukumbushia ombi langu jibu lake likawa “HAPANA..MI NAONA TUWE MARAFIKI TU”

kuuliza sababu ya maamuzi yake hayo akanambia kitu mambo mengi plus kuogopa kuumizwa na mapenzi na blah blah kibao sana ambazo kwangu hazikuingia kichwani kiukweli.

Ila nilipozidi kumdadisi akaniambia kitu ambacho kikanifanya nishangae sana.

YEYE:“Unakumbuka ile siku tumeongozana tulikutana naye mdada flani tukasalimiana naye?

MIMI:”ndio”

YEYE:”basi baadae alinitext akanambia mdogo wangu umejua kuchagua,ila mi nkamwambia hapana dada mbona ni rafiki yangu tu,....basi akasema nilitaka kushangaa anawezaje kuwa shemeji nkajua labda ndo vidawa dawa labda”

Mi kiukweli sikuwa na la kujibu ila nkawaza labda ilkuwa ni mbinu yake ya kutaka kunipotezea tu,na nikamwambia pale pale ila akasema na kuapa kabisa kuwa ndio ukweli...

Nikajaribu kumueleza kuwa mapenzi hayajengwi na watu wa pembeni ila na watu wawili tu.

Kwa kifupi huyu dada anadhani nimemtamani na sijampenda na alinambia kabisa kuwa anahisi hivyo.

Anachosema yeye alidhani mie nimemfata kwa ajili tu ya urafiki so hakuwahi kudhani kabisa kuwa naweza kumtamkia kuwa namtaka awe wangu,akagusia kuwa ndo mana siku ile nilipomtokea aliishiwa pozi na kukosa jibu la kunipa.

Ila kiukweli mi nimetokea kumpenda sana coz ana sifa kadhaa za mtu nnaye mtaka.

Ye anasema hafai kuwa na mimi ,sasa hapa ndo simuelewi ana shida gani,akaanza hata kuuliza kabila langu,nilipomtajia akasema kabila langu huwa wanakuwa na wanaoa wanawake pisi kali sijui.

Jamani sijui nifanye nini coz huyu mtoto nimezimika ghafla tu asee hebu naombeni mnishauri jamani chonde chonde nimwambiaje aelewe kuwa ananifaa.
Una 'chai'..?
Maana wanasema '...hakuna mkate mgumu kwa chai'
 
mwambie uko tayar kwa maandalizi ya kuwa mwili mmoja, akuruhusu uanze mchakato mara moja.
 
Sijasoma hayo maelezo yote nimeishia heading TU.
Katafute Hela wenye future nzuri Huwa wanaaminika mapema.
Money is parrel to love in a same direction
 
Kuna wengine bado wana maadili ya ukabila na hata udini pia kujuana nako kunasaidia
Sasa mnakutana hamjuani halafu unawaza asiyoyataka wewe unakazana tu

Alipokuambia kabila gani ujue Labda yule mama ni ndugu wa karibu na wanajua mipaka yao usilazimishe
Utapata umtakae ila ukiwa rejected usijali wapo wengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom