Sielewi haya mauzauza ya awamu hii

Joshua Hagai

Senior Member
Jul 8, 2015
111
20
Tunapesa za kurusha live matangazo ya ufunguzi wa mbio mwenge ili hatuna pesa za kurusha live mikutano ya bunge.

Tunapesa za kurusha live matangazo ya moja kwa moja ya maazimisho ya Mei Mosi ila hatuna pesa za kurusha mikutano ya bunge live.

Tunapesa za kurusha live matangazo ya ufunguzi wa daraja la Kigamboni ila hatuna pesa za kurusha mikutano ya bunge live.

Haya mauzauza hatakoma lini?
Nimechukizwa sana.
 
- MEI MOSI NI SIKU YA MAPUMZIKO
- MEI MOSI NI SIKUKUU YA MARA MOJA KWA MWAKA
- BUNGE LINARUSHWA SIKU ZA KAZI
- BUNGE NI MIEZI MITATU MFULULIZO nk
- BAJETI YA KURUSHA BUNGE LIVE MIEZI MITATU NI TOFAUTI NA BAJETI YA KURUSHA MEI MOSI SIKU MOJA
- KAMA SHULE YAKO IKO VIZURI MALIZIA KWA KUFANYA KITU KINAITWA "COST ANALYSIS"

Queen Esther

Tunapesa za kurusha live matangazo ya ufunguzi wa mbio mwenge ili hatuna pesa za kurusha live mikutano ya bunge.

Tunapesa za kurusha live matangazo ya moja kwa moja ya maazimisho ya Mei Mosi ila hatuna pesa za kurusha mikutano ya bunge live.

Tunapesa za kurusha live matangazo ya ufunguzi wa daraja la Kigamboni ila hatuna pesa za kurusha mikutano ya bunge live.

Haya mauzauza hatakoma lini?
Nimechukizwa sana.
-
 
Back
Top Bottom