Sielewi cha kufanya...!

Morning Excel!!!! unajua siku hazigandi zakimbia haswa ila nko kati ya 30-35 soo nakuachia mwenyewe hapo ungamue, kwenye ninae mtaka hasa kwanza awe God fearing man na mengneyo....!!!!

nakutakia yote mema shixi!

kama inawezekana mamii, mshike tu huyo rafiki yako wa toka utoto, no way, you got to love him now!
 
waonaje ukwashirikisha wazazi, tena wakakutafutia wanaume watatu kisha ukachagua mmoja, maana atakuwa ni chaguo la wazazi nawe utajifunza kumpenda baada ya wazazi wako kumpenda....

hii kitu mnaaandika tu lakini basically ni ngumu sana
 
hii kitu mnaaandika tu lakini basically ni ngumu sana
kweli ni ngumu lakini uangalie mtu anachotaka sasa yeye anaona jepesi kwake na anaandika tu, sasa ili umfanye afikirie na aone ugumu wake ndio hivyo awasiliane na wazazi wake....
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…