Sieleweki: Napata shida ya ku socialize na watu sana

Azimio la kazi

Senior Member
Jun 7, 2023
138
451
Napata shida ya ku socialize na watu sana.

Mimi Kila kitu kwenye maisha yangu huwa natazama katika ulimwengu wa kiroho.

Huwa naamin hata kula kunaaanzia katika ulimwengu wa kiroho.

Sasa napata tabu sana ku socialize na watu nao kutana nao, hata apa jf pia. Wengi wao/wenu mnatazama vitu katika dimensions ya kimwil.

Wakati 98% ya Kila kitu kinaaza rohoni.
 
20230727_190916~2.jpg
 
Shauri yako. Sisi hayatuhusu
 
Socilize na hizo roho sasa.

Kushindwa kuwa social ni jambo la kawaida tu in fact ni trait ya watu wenye akili sanaaa. Ila wewe ni ndezi tu, nasema wewe ni ndezi lwa sababu watu wenye akili sanaaa hawaamini mambo ya roho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom