Tumbili wa Mjini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 3,943
- 8,166
Kuna marafiki zangu wameonja wengi zaidi yangu na unakuta demu anamlilia mshkajiHuwezi dumu Kwa sababu umeonja wengi,
Sababu ni nini naachana na madem zangu mapema mno? Licha ya upendo wote ninaowapa,wanaume sekta zote tunazitawala kasoro mahusiano
nadhani hiyo ni fair deal
Kwanini hasira za karibu? Nimekua nikionyesha kuwapenda sana hao mademMimi nilichogundua haujawahi kuwa na mazuri kwao hata then una hasira za karibu sana Mangi yaani Ex hata akukumbuke kwa Show kali
Sasa mtu anatoa hela kwa kutumia ussd codes atatoa hela au atakujibu msg hizo dk 15 kipindi tunakua tunasubiri demu 2 hrs na hamna simu mpaka atumwe dukani ndio upone halafu unafukuzia week nzima. Ungetoboa kweliKwanini hasira za karibu? Nimekua nikionyesha kuwapenda sana hao madem
Ushasema kipindi hamna simu hayo ni mambo tofauti pengine ningeelewa, ila huyu demu alienda kutoa hela akaniacha pembeni ya barabara akaingia ndani kwenye mafremu mengi nikasubiri mda wote nilipiga hapokei wala message haujibu akanijibu baadae kabisa alisema "sorry nilikua bado natoa hela nilivyokuja siku kukuta" na kwanini asingeniuliza alipokuta sipoSasa mtu anatoa hela kwa kutumia ussd codes atatoa hela au atakujibu msg hizo dk 15 kipindi tunakua tunasubiri demu 2 hrs na hamna simu mpaka atumwe dukani ndio upone halafu unafukuzia week nzima. Ungetoboa kweli
Umeelezeq mapungufu yao je yako?Kama kichwa cha hapo imeandika, mimi sijawahi kudumu na mwanamke zaidi ya miezi sita nitaeleza kwa visa vya wanawake watatu
Wakwanza nilifumu nae kwa mwezi mmoja wakaenda kwao likizo baada ya hapo mahusiano yakaisha akawa anadharau hata nikimwita mara anisimamishe njiani kama siku moja aliniambia nisubiri akatoe hela kwa wakala nikasimama kama robo saa hajatokeza kila nikimsemesha hajibu message baadae kabisa akanijibu eti alikua bado anatoa hela, huyu demu alikua naleta dharau sana
Wapili alikua akiishi magomeni, basi sasa nikadumu nae kwa miezi kama mitatu mwanzoni alikua yupo na heshima ila baadae akaanza madharau mpaka kufikia kunitukana nikaacha a nae
Watatu ndio nilimpenda sanaaaa sijawahi kupenda demu kiasi hiki, nilijitahidi kadri niwezavyo tufurahi pamoja na heshima nilimpa kama zote mwanzo alikua na wivu nilichelewa kujibu message anakasirika, nilidumu nae almost 6 months tukaja kuachana kisa simjibu message nikajitetea yakaisha, sasa miezi kama mine nimepita nimesafiri hajawahi kuniulizia chochote nilivyo mwambia kama amezingua akaleta kelele nyingi kwamba simpendi namchezea tu, akasema tuachane kwakua sina future nae basi na mimi nikamuitikia na sijawahi kutafuta tena, ila uliniumiza sana kuachana nae,
Wanawake wote hao na wengine wengi niliowahi kuachana nao sijawahi kuona hata mmoja akinisemesha kunijulia hali
Swali? Kosa langu ni lipi. Au ni focus kwenye mambo ya maana kama Lusaka noti niachane na mademu daima?
Njoo getoni wewe demuSasa Uolewe utulie
Mapungufu yangu ni yakawaida tu, labda naonyesha kuwapenda sana jambo ambalo nataka nisilionyeshe kwenye mahusiano yangu mapyaUmeelezeq mapungufu yao je yako?
Tafuta bwana uolewe tutakyombea udumuNjoo getoni wewe demu
Pesa ninazo za kawaida, appearance sio mbaya pia age ni 23Tafuta pesa.