SIDO ifumuliwe awamu hii ya Viwanda

Umeshuri vema.

Ila tatizo la hii nchi kwa kwa sasa ni kipaumbele.

Tumetoka kwenye lengo kuu la kipaumbele cha NCHI YA VIWANDA na sasa tuna kipaumbele cha KUNYIMA UHURU WA KUTOA MAONI NA UTUMBUAJI USIO NA TIJA.
 
SIDO Mungu anawaona miaka kibao bado mnatengeneza Batik tu daah!
 
Awamu ya viwanda!? Nyie waimba mapambio mbona mnajitoa akili sana? Unaweza taja hata viwanda 10 vya awamu hii?
 
SIDO ni jipu kubwa ambalo limeisha ivz ni kitengo cha kupiga pesa tu
 
Ipo Na wafanyakaz kibao. Na wao eti wanadai nyongeza ya mshahara.
Haaahaaa. Tunapeana rewards hata kama hakuna tunachofanya.
Hivi Tirdo na Camatech nao wanafanya nini? Kwanini wasiwe sehemu ya Sido? Hakuna watu wanaoweza kusukuma mambo yakaenda huko kwenye hizo institutions?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…