and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,224
- 39,703
Nazungumzia viwanda vikubwa kabisa duniani ambako dunia nzima itakuja kununua bidhaa toka hapa nchini. Kuanzia injini za ndege, meli, Madaraja, fly-over n.kLabda Viwanda vya Shilawadu.
UKIFIKA ofisi za SIDO mkoa wa DAR-ES_SALAAM utapatwa na butwaa kabla hujaanguka chini puu, maana ni kama jengo la makumbusho KILWA KIVINJE au makaburi ya KAOLE Ila magari mapya kabisa full AC. Iweje wahindi na wachina hata wale waarabu wa SYRIA wanafanikiwa kuajiri vijana wenzetu na kutengeneza fenicha hapa hapa nchini na kuuza bei ya kutupa ila sisi tunawatumia wafungwa na JKT kwani SIDO wanafanya nini? hawa wasanii wakina Stiv Nyenyerer wapelekwe huko SIDO wakajifunze jinsi kupamba, kusuka ukili na mambo dizaini hiyo kwa ajii ya kuongeza kipato kuliko kupiga domo tu.............Naunga mkono. Lazima tuwaze mbali Haiwezekani Ubunifu uwe ni wa viwango vya kutengeneza mashine za tofari, incubators, na vitu vidogo vidogo. Atafutwe mtu mwenye maono ya MegaIndustries through SIDO.
Inawezekana
Pale niliwahi kumkuta jamaa mmoja Multiskilled anajua vitu vingi kuliko yaani kiasi kwamba nikajiuliza kama angekuwa MIT au Silicon Valley angekuwa billionea. Nilimkuta anatest gari aliyoiunda mwenyewe na anadesign chochote unachotaka au ukimpa wazo. Bongo kuna vichwa aisee. Sido, Veta zifanyiwe mapinduzi ili wawe na maono makubwa na wawe kivutio cha wengi wenye IdeasUKIFIKA ofisi za SIDO mkoa wa DAR-ES_SALAAM utapatwa na butwaa kabla hujaanguka chini puu, maana ni kama jengo la makumbusho KILWA KIVINJE au makaburi ya KAOLE Ila magari mapya kabisa full AC. Iweje wahindi na wachina hata wale waarabu wa SYRIA wanafanikiwa kuajiri vijana wenzetu na kutengeneza fenicha hapa hapa nchini na kuuza bei ya kutupa ila sisi tunawaukumia wafungwa na JKT kwani SIDO wanafanya nini? hawa wasanii wakina Stiv Nyenyerer wapelekwe huko SIDO wakajifunze jinsi kupamba, kusuka ukili na mambo dizaini hiyo kwa ajii ya kuongeza kipato kuliko kupiga domo tu.............
kuna kipindi nilikaa Africa ya kusini yaani jamaa wana kitu wanakiita (PROUDLY SOUTH AFRICAN)..Yaani humu kazi yao kubwa ni kusapoti viwanda na biashara za kisauzi. karibia body nzima imejaa watu walio na elimu tofauti tofauti na watu wanaofikiria mbali zaidi. Tanzania tuna vipaji vingi sana sana na kuna watu wanajua sana ufundi ila ndio vile tena serikali yetu haijaweka msisitizo katika maswala kama haya...wakina Mwaijage maneno mengi lakini hata kutafuta njia tofauti za kuweza kufanikisha watu kuanzisha viwanda au kuwasaidia wenye viwanda vidogo kukua zaidi hata kuanzisha semina ambayo itawasaidia hawa wafanya biashara na wenye viwanda vidogo.Shirika la Viwanda Vidogo vidogo (SIDO) lifumuliwe ili liweze kuundwa upyaikiwezekana lipate Boss msomi wa ngazi ya juuu kabisa, maana ni kama halipo halisiskiki kwa vitu vya maana zaidi ya kuoga mikate ya kumimina. Na wafanyakazi wanalipwa mishahara. Hakuna ubunifu kabisa.
Swadakta mkuu, tunakutegemea wewe uijuaye vilivyo sido utuambieHakuna mnalolijua kuhusiana na SIDO
Naunga mkono hoja! SIDO ina clusters tofauti za wajasiriamali Ila ukiangalia kwa undani mchango wake ni mdogo sana.Shirika la Viwanda Vidogo vidogo (SIDO) lifumuliwe ili liweze kuundwa upyaikiwezekana lipate Boss msomi wa ngazi ya juuu kabisa, maana ni kama halipo halisiskiki kwa vitu vya maana zaidi ya kuoga mikate ya kumimina. Na wafanyakazi wanalipwa mishahara. Hakuna ubunifu kabisa.
tatizo ukiweza kutengeneza bunduki utaozea jelaNaunga mkono. Lazima tuwaze mbali Haiwezekani Ubunifu uwe ni wa viwango vya kutengeneza mashine za tofari, incubators, na vitu vidogo vidogo. Atafutwe mtu mwenye maono ya MegaIndustries through SIDO.
Inawezekana