Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
whistle blowers? r u serious?...M.z.i.go lazima uteue mizigo myenzie,kondoo hawezi kuwa chui,atachgua tena mizigo ileile tu.Achague wafuatao
1.kangi Lugola
2.filikunjombe
3.Ally Kessy
4.Luhaga Mpina
wengine wote mizigo tu
M.z.i.go lazima uteue mizigo myenzie,kondoo hawezi kuwa chui,atachgua tena mizigo ileile tu.Achague wafuatao
1.kangi Lugola
2.filikunjombe
3.Ally Kessy
4.Luhaga Mpina
wengine wote mizigo tu
Alooh,... usilete utani!Safari hii mkweree atajaza Mashori tupu kwenye baraza la mawaziri!!! Mganga wake kamwambia usalama wake uko kwa yeye kuzungukwa na wanawake!!! Kama hamuamini ngojeni mtaona wakina Vicky Kamata wakiukwaa uwaziri.
Hata km watachaguliwa akina mbowe ndio watapata sababu ya kwenda kuwalala dada zetu dubai na kula pesa za wavuja jasho,chezea chaga kwa pesa wewe
teh teh...chande chonde mbowe hafai,,atatumalizia dada zetu.