Sidhani kuwa Dr. Kikwete atateua tena mawaziri wa kuaminika

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
M.z.i.go lazima uteue mizigo myenzie,kondoo hawezi kuwa chui,atachgua tena mizigo ileile tu.Achague wafuatao
1.kangi Lugola
2.filikunjombe
3.Ally Kessy
4.Luhaga Mpina
wengine wote mizigo tu
 
Hata km watachaguliwa akina mbowe ndio watapata sababu ya kwenda kuwalala dada zetu dubai na kula pesa za wavuja jasho,chezea chaga kwa pesa wewe
 
Safari hii mkweree atajaza Mashori tupu kwenye baraza la mawaziri!!! Mganga wake kamwambia usalama wake uko kwa yeye kuzungukwa na wanawake!!! Kama hamuamini ngojeni mtaona wakina Vicky Kamata wakiukwaa uwaziri.
 
M.z.i.go lazima uteue mizigo myenzie,kondoo hawezi kuwa chui,atachgua tena mizigo ileile tu.Achague wafuatao
1.kangi Lugola
2.filikunjombe
3.Ally Kessy
4.Luhaga Mpina
wengine wote mizigo tu

Lini alimaliza hizo course works to attain his Ph.D na kuitwa Dr. ?
 
mawaziri wenyewe wanateuliwa,wanatulisha hasara tu,wanaishi hotelini muda wote,eti hakuna nyumba
 
Safari hii mkweree atajaza Mashori tupu kwenye baraza la mawaziri!!! Mganga wake kamwambia usalama wake uko kwa yeye kuzungukwa na wanawake!!! Kama hamuamini ngojeni mtaona wakina Vicky Kamata wakiukwaa uwaziri.
Alooh,... usilete utani!
 
Hata km watachaguliwa akina mbowe ndio watapata sababu ya kwenda kuwalala dada zetu dubai na kula pesa za wavuja jasho,chezea chaga kwa pesa wewe

Mbona unaongea maneno makali namna hiyo! Hata kama ni kweli hilo suala binafsi la mtu haliusiani na masuala ya uongozi au siasa zake. Please! try to control your emotional.
 
Usishangae jk akaipa mizigo ifuatayo uwaziri, mwigulu nchemba, john komba, asumpta mshana, hamisi kigwangallah! Tusubiri tuone!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom