Sidhani kama picha hii imeshafika huku JF!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
16387124_1290137544379483_1812688783992717646_n.jpg
 
thread yake nimeiona humu jana,ñadhani walimpa kazi ya ukuu wa Yule jamaa aliyechemsha majuzi
 
Ni dhambi kuombea watu flani wafe ila ata Mungu aliwauwa watu wa Misri ktk bahari ya sham ili wana wa Israel wasonge mbele.
 
Nimegungua wakimbizi wengi ndio ushabikia ccm na viongozi wa nchi,huyo mzee hapo lazima atakuwa mkimbizi toka nchi za maziwa makuu na ameishi nchini kimagumashi kwa kushabikia mambo kama haya.
 
Hawa ndo wanaturudisha nyuma, bila shaka kama sio mtu wa tabora ni kigoma.. Viazi sana hawa watu kila uchao ni kushabikia ccm tu
Ili uridhike ungependa washabikie nini labda!? Live your life man, usitake kila mtu aishi kukufurahisha wewe, unless wewe ni kiazi!
 
Iko hivi, ukikutana na mtu akakwambia mimi ni ccm, ujue anamaanisha. Hagawanyi kura yake.

Ukikutana na mtu akakwambia yeye ni ukawa, si ajabu kura ya diwani akampa udp, mbunge akampa ccm, rais akampa chadema.

Ukawa itafute namna ya kuimarisha chama na kujiongezea wanachama, kiwepo kikosi cha kuikosoa serikali, kiwepo kikosi cha kukijenga chama, kiwepo kikosi cha kuimarisha chama.

Upinzani ukiwa mzuri na imara, hata serikali itakuwa makini zaidi.

Upinzani si uadui.
 
Back
Top Bottom