Umenikumbusha mbali sanaKama wewe ni mpenzi wa filamu mkongwe ebu weka neno kwa huyu mwamba hapa! Binafsi ni mhusika wangu namba moja kwa kumchukia.
View attachment 3284078
Ndo huyu alikuwa ameshikilia pisto halafu anasema "NITAKUCHINJA!" au sio yeye..?Kama wewe ni mpenzi wa filamu mkongwe ebu weka neno kwa huyu mwamba hapa! Binafsi ni mhusika wangu namba moja kwa kumchukia.
View attachment 3284078