Sidhani Kama hii imekaa sawa

Kulaapambio na bia sio dhambi
Ni kweli kabisa,unakuta kanisa LA Roma ukuta wake umezungukwa na Grosari na waimbaji wa kwaya wana activate kidogo ndio wanafanya mazoezi ya kuimba mpaka najiuliza hii kitu imeruhusiwa nini!!!!
 
mkuu si unaona imekupunguzia idadi ya bia ambazo ulipanga unywe hapo? hiyo ndiyo zana mujarabu kabisa ya kupunguza dhambi za ulevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…