Sasa si ufanye biashara ya fani yako hadi uje kumaliza hiyo electrical course utakua bonge la nguli wa umeme,, na huenda ukawa unamiliki kampuni active ... Hizo uber sidhani kama zitakuletea brightly future ..Mimi ni kijana wa miaka 22 kwa sasa nasoma chuo bachelor of electrical engneering! Nlibahatika kupata pesa so nilinunua bajaji angu Moja na pikipiki so angalau kwa mwezi naingiza kama 700k hivi
Nimepata mkopo wa chuo so ada na Boom napata japo m naongeza kdg tu! So tuseme kwa mwezi take home n kama 600k hivi nkishatoa matumizi yangu yote!
Nimekuja chuo nimegundua kuna mda mwingi sana tunakuwepo tu free so nkawa na wazo la kuanza side hussle angu mwenyewe niwe na gari la uber na bolt nijiiongezee kipato! ila hapo nataka kuchukua mkopo wa gari lisilozidi
7M make nina uhakika wa kulilipa make ata gari hilo sio la starehe ila la kazi kama Vitz au ist!
Jamani naombeni ushauri je ntakua nimefanya maamuzi mazuri make kweri nimejikuta nimekuwa na uhitaji huo make maisha kutegemea tu kumaliza chuo ndo upate pesa n jau sana!
Naombeni ushauri wenu tafadhari ntashukuru sana!ππΏππΏ
Niko hapa hapa Dar!
Chalii usharudi?Mwanang nipe kazi
Ni rahisi kusema hivo ila sasa naanzia wapi nafanyaje!! Ndo kitu kigum angalau kma ningekua na mtu wa kunipa kama njia kuwa nifanye hv nifanye hv angalau!!Sasa si ufanye biashara ya fani yako hadi uje kumaliza hiyo electrical course utakua bonge la nguli wa umeme,, na huenda ukawa unamiliki kampuni active ... Hizo uber sidhani kama zitakuletea brightly future ..
Why unazi crush hilo wazo la uber pia ??Sasa si ufanye biashara ya fani yako hadi uje kumaliza hiyo electrical course utakua bonge la nguli wa umeme,, na huenda ukawa unamiliki kampuni active ... Hizo uber sidhani kama zitakuletea brightly future ..
Sijacrush kiivyo ila uber kwa upande wangu naona ni vision za mtu tusiyemjua so napenda mtu afanye investment ya muda wake kwa vision zake mwenyewe, dsm utaijua tu ni swala la muda tu kwani hata hiyo uber utaendeshaje kama dsm uijui,, so ww fanya hivi angalia maeneo jirani na chuo, mfano km upo UDSM unaweza kwenda changanyikeni au kimara au mabibo tabata unatafuta kaflem kadigo ka elfu 50 kwa mwezi, unaweka vifaa vya umeme aina mbalimbali unauza, them mtafute fundi wa umeme wa mtaani unakuwa nae pale kijiweni kwako mnafanya na troubleshooting ndogo ndogo za umeme au wiring unaweka na huduma hizo ila kazi ya service ikitokea unaenda na huyu jamaa ndio utaanza kujifunza na utakuwa master hatari, take it from me ... Hautojuta after graduation.Na
Why unazi crush hilo wazo la uber pia ?
kaka umeongea point ofcoz ila inahitaji mda nikae ntulie niwaze! Make mm nasomea dit broh! Na saa hizi nimechukua ghetto langu hapa manzese! So ntaangalia kaka ila asante wazo lako zuri piaSijacrush kiivyo ila uber kwa upande wangu naona ni vision za mtu tusiyemjua so napenda mtu afanye investment ya muda wake kwa vision zake mwenyewe, dsm utaijua tu ni swala la muda tu kwani hata hiyo uber utaendeshaje kama dsm uijui,, so ww fanya hivi angalia maeneo jirani na chuo, mfano km upo UDSM unaweza kwenda changanyikeni au kimara au mabibo tabata unatafuta kaflem kadigo ka elfu 50 kwa mwezi, unaweka vifaa vya umeme aina mbalimbali unauza, them mtafute fundi wa umeme wa mtaani unakuwa nae pale kijiweni kwako mnafanya na troubleshooting ndogo ndogo za umeme au wiring unaweka na huduma hizo ila kazi ya service ikitokea unaenda na huyu jamaa ndio utaanza kujifunza na utakuwa master hatari, take it from me ... Hautojuta after graduation.
Kama unanondo nyingine zishushe kaka asee πππ π au wazo la kuongezea au idea nyingineSijacrush kiivyo ila uber kwa upande wangu naona ni vision za mtu tusiyemjua so napenda mtu afanye investment ya muda wake kwa vision zake mwenyewe, dsm utaijua tu ni swala la muda tu kwani hata hiyo uber utaendeshaje kama dsm uijui,, so ww fanya hivi angalia maeneo jirani na chuo, mfano km upo UDSM unaweza kwenda changanyikeni au kimara au mabibo tabata unatafuta kaflem kadigo ka elfu 50 kwa mwezi, unaweka vifaa vya umeme aina mbalimbali unauza, them mtafute fundi wa umeme wa mtaani unakuwa nae pale kijiweni kwako mnafanya na troubleshooting ndogo ndogo za umeme au wiring unaweka na huduma hizo ila kazi ya service ikitokea unaenda na huyu jamaa ndio utaanza kujifunza na utakuwa master hatari, take it from me ... Hautojuta after graduation
Sijacrush kiivyo ila uber kwa upande wangu naona ni vision za mtu tusiyemjua so napenda mtu afanye investment ya muda wake kwa vision zake mwenyewe, dsm utaijua tu ni swala la muda tu kwani hata hiyo uber utaendeshaje kama dsm uijui,, so ww fanya hivi angalia maeneo jirani na chuo, mfano km upo UDSM unaweza kwenda changanyikeni au kimara au mabibo tabata unatafuta kaflem kadigo ka elfu 50 kwa mwezi, unaweka vifaa vya umeme aina mbalimbali unauza, them mtafute fundi wa umeme wa mtaani unakuwa nae pale kijiweni kwako mnafanya na troubleshooting ndogo ndogo za umeme au wiring unaweka na huduma hizo ila kazi ya service ikitokea unaenda na huyu jamaa ndio utaanza kujifunza na utakuwa master hatari, take it from me ... Hautojuta after graduation.
Hiyo bajaji na pikipiki inayoingiza 700k ni wapi hiyo mkuu??Mimi ni kijana wa miaka 22 kwa sasa nasoma chuo bachelor of electrical engneering! Nlibahatika kupata pesa so nilinunua bajaji angu Moja na pikipiki so angalau kwa mwezi naingiza kama 700k hivi
Nimepata mkopo wa chuo so ada na Boom napata japo m naongeza kdg tu! So tuseme kwa mwezi take home n kama 600k hivi nkishatoa matumizi yangu yote!
Nimekuja chuo nimegundua kuna mda mwingi sana tunakuwepo tu free so nkawa na wazo la kuanza side hussle angu mwenyewe niwe na gari la uber na bolt nijiiongezee kipato! ila hapo nataka kuchukua mkopo wa gari lisilozidi
7M make nina uhakika wa kulilipa make ata gari hilo sio la starehe ila la kazi kama Vitz au ist!
Jamani naombeni ushauri je ntakua nimefanya maamuzi mazuri make kweri nimejikuta nimekuwa na uhitaji huo make maisha kutegemea tu kumaliza chuo ndo upate pesa n jau sana!
Naombeni ushauri wenu tafadhari ntashukuru sana![emoji1545][emoji1545]
Niko hapa hapa Dar!