Kila kimoja kikiwa tooo much kina side effects hata dawa zinazotuponya ukizinywa sana zina side effects katika miili yetu so acha tuu tuvae ila tusizidishe....
Nimeshawahi kuangalia kipindi kwenye Luninga kikielezea madhara hivyo hivyo lakini wanasikia basii....!
Sikio la kufa anza kuchimba kaburi kabisa ili likifa mfiwa asisumbue majirani....